Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
hujui unachoongea wewe , hivi unajua kweli hata kuandika essay??? maana nimeangalia hapa nimeona ni blah blah tupu.. umesoma wapi wewe?? unajua kweli hata principles za academic writting?? maana naona unabwabwaja tu hapa..
Hili ndilo tataizo la watu wanao jifanya kuwa bigger than their HEADS - hawana habari social networks zinatumika kufanya nini!!!! Na hii si mara yangu ya kwanza kuona unatumia lugha za mitaani humu - sijuhi umekulia wapi! Huna ustaarabu hata kidogo.
Labda nikukumbushe kwamba hii ni social network forum, hatupo hapa kuandika white paper au kuhulizana academic credentials; wewe tatizo lako ni complex ya aina fulani ambayo siwezi kuzungumzia humu lakini reading between the lines unaonekana wazi wazi kwamba huko kwenye kundi nililo zungumzia humu i.e kuchukia mtu au kabila fulani without any good reason, oh yes - majibu yako ya ajabu ni a spitting image of your true self (arrogant)- wala usifikili kuleta lugha zako za kejeri ndio zitakusaidia ku- compensate uwalakini uliyo nao - huko wired hivyo si rahisi kubadirika.
Wewe kama ungekuwa Mega Smart upstairs (mostly unlikely) ungesoma post yangu kwanza, kama ungeona haina substance basi una-ignore tu na ku-move ON, watu weledi wanao heshimu binadamu wenzao ndivyo wanavyo fanya, lakini wewe hilo huna 'am afraid!