Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

YE67NBE

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
15,174
36,231
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

download (6).jpeg
 
Back
Top Bottom