Watani zangu Wahaya leo Mtani wenu Mzanaki nawachana 'Live' ili mbadilike kwani tumeshawachoka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
1. UKIMWI umeanzia kwenu Kagera

2. Ajali za Kuua kwa Jumla Jumla ( Watu wengi za Meli ) kama ile ya MV Bukoba imeanzia kwenu Kagera

3. Tetemeko Kubwa la Ardhi nchini Tanzania limeanzia kwenu Kagera

4. Ajali mbaya ya Ndege ( hii ya Majuzi ya Precision Air ) ni ya Pili Kihistoria bado imetokea kwenu Kagera

5. Ajali mbaya za Madereva Bodaboda Kufa hovyo kama Mbu wa Malaria imeanzia kwenu Kagera.

6. Matumizi mabaya ya Watu ( Watanzania ) kutotumia Condoms ipasavyo Kujikinga na Magonjwa ya Zinaa limeanzia kwenu Kagera

7. Ugonjwa mpya na Usiojulikana ulioripotiwa Jana na Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania umeanzia kwenu Kagera.

Wahaya mmemkosea nini Mwenyezi Mungu nyie? Mbona matatizo haya kamwe huwezi kuyakuta Mkoa uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Tanzania nzima wa Mara / Musoma?
 
Tunaomba radhi Kwa wote wataokwazika, mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ndugu GENTAMYCINE alifanikiwa kutoroka Jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tuna ahidi tuta lishughulikia hivyo mvumilieni.

Naambatanisha ushahidi wa vyeti vya kimataifa, alivyovipata
FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
1. UKIMWI umeanzia kwenu Kagera

2. Ajali za Kuua kwa Jumla Jumla ( Watu wengi za Meli ) kama ile ya MV Bukoba imeanzia kwenu Kagera

3. Tetemeko Kubwa la Ardhi nchini Tanzania limeanzia kwenu Kagera

4. Ajali mbaya ya Ndege ( hii ya Majuzi ya Precision Air ) ni ya Pili Kihistoria bado imetokea kwenu Kagera

5. Ajali mbaya za Madereva Bodaboda Kufa hovyo kama Mbu wa Malaria imeanzia kwenu Kagera.

6. Matumizi mabaya ya Watu ( Watanzania ) kutotumia Condoms ipasavyo Kujikinga na Magonjwa ya Zinaa limeanzia kwenu Kagera

7. Ugonjwa mpya na Usiojulikana ulioripotiwa Jana na Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania umeanzia kwenu Kagera.

Wahaya mmemkosea nini Mwenyezi Mungu nyie? Mbona matatizo haya kamwe huwezi kuyakuta Mkoa uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Tanzania nzima wa Mara / Musoma?
Super F..l
 
Halafu we GENTAMYCINE aliye amua kukupa jina la game changer, charismatic fella au great thinker alikosea 🤔🤔
👉Maana kwa Akili hi, wewe ni popoma tu.
👉Magonjwa Yana husisha Nini na suala la kumuingiza Mwenyezi MUNGU??.
👉Halafu kuhusu umalaya, mbona dar esalaam imejaa mashogaa??
👉Tumia Akili, wewe popoma mzoefu
 
1. UKIMWI umeanzia kwenu Kagera

2. Ajali za Kuua kwa Jumla Jumla ( Watu wengi za Meli ) kama ile ya MV Bukoba imeanzia kwenu Kagera

3. Tetemeko Kubwa la Ardhi nchini Tanzania limeanzia kwenu Kagera

4. Ajali mbaya ya Ndege ( hii ya Majuzi ya Precision Air ) ni ya Pili Kihistoria bado imetokea kwenu Kagera

5. Ajali mbaya za Madereva Bodaboda Kufa hovyo kama Mbu wa Malaria imeanzia kwenu Kagera.

6. Matumizi mabaya ya Watu ( Watanzania ) kutotumia Condoms ipasavyo Kujikinga na Magonjwa ya Zinaa limeanzia kwenu Kagera

7. Ugonjwa mpya na Usiojulikana ulioripotiwa Jana na Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania umeanzia kwenu Kagera.

Wahaya mmemkosea nini Mwenyezi Mungu nyie? Mbona matatizo haya kamwe huwezi kuyakuta Mkoa uliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Tanzania nzima wa Mara / Musoma?
Number 6,yale maji ya mto kagera ukitumia mfuko wa plastic hayatoki
 
Hapa umewaonea nshomile, la msingi waambie waache kujifanya wao ni nshomile sana kuliko sisi babu zao wa kutoka Mara, pia waambie waje tuwafundishe kupika ugali wa mhogo na mtama mwekundu na namna ya kuumeza bila kutafuna maana wameanza kuishiwa ndizi.​
 
Sema ukicomment tofauti na mawazo ya mwenye post yake atakuja kusema tuna IQ acha leo niwe msoma comments
 
Back
Top Bottom