Senyora Benito
Member
- Aug 27, 2012
- 29
- 3
huu ni ukabila na ni u***...ingekua vip tungesaidiana vijana na sio wahaya...???
kama inakuuma na ww kaanzishe kijijini kwen interliol afikenani,ambao cthan hata wanajua kama kuna k2 kinachoitwa elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu ni ukabila na ni u***...ingekua vip tungesaidiana vijana na sio wahaya...???
Katazeni na wale ndugu zenu wanaoishi kwakujiuza bukubuku huku mjini pia wanajenga vijumba vya udongo ikifika saa 12 jioni wanakaa mlangoni hebu anzeni huku mjini kule kigamboni ,pale uwanjani magenge ya juu,kule magomeni ,kule mwananyamala ,wamezidi mpaka aibu yani wao wanajua kujiuza tutututu wasaidieni na hao pia.
mkuu umefanya nimecheka sana hapo kwenye red
Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
haya wale wairaq!
hapo kwenye red ndo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri
Naona unahitaji mme siyo bure
u A*s unazidi kuonyesha ujinga wako hapa mume nimtafutie humu!!c ningetangaza kweny mahusiano na mapenz incase u dnt knw dis z jukwaa la elim na cthan wa2 wenye akil ndogo kama yako kunakufaa?
Wabongo bana,basi kajamaa kanavotaja hyo fuculty yake utazania kakigraduate katakua na uwezo wa kucreat hata saa.2naishiaga kufanya wiring kwenye viwanda na majumba ya watu.cku mkiweza hata kutengeneza cm zenu itakua balaa,cjui zatakua katerelo mobiles?cjui.
let mi jst leave u alone man coz nishajua ur head z nat okey u need a doctor.na kama wasemavyo ukibishana na taira na ww utaonekana taira n mi nko sawa men real NSHOMIRE.Nimeishasema unatafuta mme,maana unawashwa kweli
let mi jst leave u alone man coz nishajua ur head z nat okey u need a doctor.na kama wasemavyo ukibishana na taira na ww utaonekana taira n mi nko sawa men real NSHOMIRE.
Kawakomboe kwanza dada zako pale buguruni,wanauza 0713 kwa bei ya jioni!tuna mlinzi wa kihaya siku moja aligombana na dogo akasema hivi"na akajangu kange kashomile"yaani huko uhayani hata paka wake amesoma!hamna lolote ushamba huwa unawatesa sana.
Mkuu me sio mhaya but wa2 wa electrical engneern hawaucki na kutengeneza ivo vifaa vya electronics unavovitaja.
Kawakomboe kwanza dada zako pale buguruni,wanauza 0713 kwa bei ya jioni!tuna mlinzi wa kihaya siku moja aligombana na dogo akasema hivi"na akajangu kange kashomile"yaani huko uhayani hata paka wake amesoma!hamna lolote ushamba huwa unawatesa sana.
Wana JF na hasa wanafuatilia hii thread,
Maendeleo ya kweli Tanzania yatapatikana kwa kuanzia kwenye kaya zetu, makabila yetu, wilaya zetu, mikoa yetu na hatimaye taifa. Anayekataa ukweli huu halitakii taifa maendeleo. Tanzania ya sasa suala la ukabila halina nafasi kabisa lakini hatuwezi kukataa ukweli kwamba kila kabila lina eneo lake la kujidai.
Mnaotaka kunishambulia na mimi mnakaribishwa. Dokezo: Sitajibu hoja ya mtu yeyote!!!
Tiba
Nadhani huyu dogo ataielewa hii post toka kwa Great Thinker, kama na yeye anataka kuwa Great Thinker wa hapo baadaye.Kwa kuwataja Wahaya ushaweka ukabila.
Mara mia hata ungesema "wenyeji wa mkoa wa Kagera" maana unaweza kukuta mtu ni mwenyeji/mzaliwa wa huko na wala si Muhaya.
Sasa huyu atajisikiaje?
Inabidi ujifunze ustaarabu.