Bhujegwe
Senior Member
- Nov 23, 2013
- 135
- 191
Ndugu unajua tulio wengi tunaliangalia hili kwa juujuu sana. Si mda dunia itaimba wimbo mmoja.Museven atakuja kupigwa chuma kama Gaddaf mana maraisi wote wenye kiburi wanafyekelewa mbali dadadek,
Hivi km tunao makanisa kibao na manabii,mitume,wachungaj na maaskof wengi tu,hujiuliz why not hawajashupalia kulipinga kwa nguvu zao zote!!!!?? Coz they know clearly what's coming.
Wanaliongelea kijanja saanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣