Asprin mbona nimeshachangia au hukuona mchango wangu. Mie nilisema matiti ni ya mwanamke tu
am still waiting.....Let me think twice aisee!!!! Will come very soon.
Ushasema Babu so anajua kila kitu huyo we shauri yako atakupa Ban we mchezee tu
Sorry Dena nilikuwa Gest, bahati mbaya nikachelewa....bado hali inabaki ile ile kwamba kumuacha itakuwa vigumu kwa sababu bado anampenda
Ni bahati mbaya kwamba alipenda asipopendwwa na hilo lipo sana katika maisha ya kila siku
Muhimu ni kupiga moyo konde, na kuangalia maisha yajayo
By the way mwambia anione (mpe address yangu) nimsahaulishe machungu au unaonaje
Hommie, kule kwenye matiti mlikonkludi nini?
Au ndiyo yanachangia kumuacha umpendae?
bado wewe ukapumzike na huyo mwenzio hukoo...nakutafutia sababu lazima.....
Nyamayao mambo bibie....hapo kwenye RED unamaanisha nani?bado wewe ukapumzike na huyo mwenzio hukoo...nakutafutia sababu lazima.....
Nyamayao mambo bibie....hapo kwenye RED unamaanisha nani?
hahahaha Maty mbaya sana anapeleka watu Selo....huyo Maty aliempeleka selo...lol
bado wewe ukapumzike na huyo mwenzio hukoo...nakutafutia sababu lazima.....
Nyamayao mambo bibie....hapo kwenye RED unamaanisha nani?
huyo Maty aliempeleka selo...lol
DENA unajua mi nnavyo isubiri hiyo kitu......nikiipata leo nafanya big bush kwa afya yangu na yako..lol...Taratibu usijali bado nafikiria
hahahaha Maty mbaya sana anapeleka watu Selo....