Unaweza kumuacha umpendae?

@chauro @afrodenzi mi sio mnachobishana hapo nyie wote mko sawa ila katika mtazamo tofauti njia sio tatizo cha msingi ufike unapokwenda na kwa muda unaotakiwa.Hakuna mtaalamu kwenye mambo haya ila kila mmoja ana Strategy zake so ur al ryt

Sawa kabisa tena naongeze aliyepanda ndege, tren, baiskeli, trekta, basi, aliyetembea kwa miguu wote wamefika. Waliochoka haya, waliopata AC njiani haya mradi wote tumefika tunakokwenda!!!1
 
Kila kitu kinawezekana na kila jambo lina mwanzo wake,mwanume akisema hakupendi amini hvyo nothing u can do atazidi kuumizwa tu na atajikuta anapoteza muda wa kumpata ryt person.Inauma ni kweli ila Mungu alituumba na kusahau pia so asijari atasahau ila kama alikuwa anamtegemea huyo njemba Financially inabidi ajipange vizuri
 
yule yule...JOHN KISOMO....mambo yako vipi lakini? mrembo kashafungasha?

Nimempata ndo maana sijamsikia. Mie niko poa anahama jumatano kesho amefurahi sana comments zenu akasema maisha yapo bila yeye atajipanga upya. Tomorrow anasepa zake.
 
safi sana...mwambie aje njoro huku tulime kunde tuanze maisha mapya, maisha yenyewe haya lim2 likuzingue?....acjifie na kihoro kabla hajazikwa mwenzie kaoa.
 
Nitafikisha ujembe usijali. Nakwambia hata kuongea kabadilika maana alikuwa jamaa kaniacha toka nimemtumia comments za humu kabadili kabisa na msimamo kawa mtu mwingine kabisa. JF poa sana
 
Nimefurahi kusikia hivyo na mwambie ajiunge JF hatakosa wa kumpetipeti mimi nilikua na tatizo ka lake kuingia tu humu ninao sita nafanya badilisha 2 maana humu kizuri wala na nduguyo hakuna wivu humu wala hutakiwi kupenda kupitiliza unapenda kinusu nusu
 
Sawa kabisa tena naongeze aliyepanda ndege, tren, baiskeli, trekta, basi, aliyetembea kwa miguu wote wamefika. Waliochoka haya, waliopata AC njiani haya mradi wote tumefika tunakokwenda!!!1

Mh Dena umenimaliza kabisa hapa mwe nimeshindwa hata kubisha
 
Nimefurahi kusikia hivyo na mwambie ajiunge JF hatakosa wa kumpetipeti mimi nilikua na tatizo ka lake kuingia tu humu ninao sita nafanya badilisha 2 maana humu kizuri wala na nduguyo hakuna wivu humu wala hutakiwi kupenda kupitiliza unapenda kinusu nusu
Hapo ndo nnapo kupendea yaani wewe ni mwanachama hai na mtiifu..
BTW..Maty ile plan ya wapwa Moro ipo katika pipeline...
 
Me nimejiandaa vilivyo nshabuk gest 50 zote nzuri za moro pamoja na mbusi wa kisusio usisahau kuja na madumu ya ulanzi
 
Nimefurahi kusikia hivyo na mwambie ajiunge JF hatakosa wa kumpetipeti mimi nilikua na tatizo ka lake kuingia tu humu ninao sita nafanya badilisha 2 maana humu kizuri wala na nduguyo hakuna wivu humu wala hutakiwi kupenda kupitiliza unapenda kinusu nusu

We Maty wewe hapo kwenye bold taratibuuuuu!!!1
 
Me nimejiandaa vilivyo nshabuk gest 50 zote nzuri za moro pamoja na mbusi wa kisusio usisahau kuja na madumu ya ulanzi
Orait Orait...ntaongea na mwenyekiti Pope Keizer, na katibu Roy Roya wa do the nidfull kwa member wote...
 
Back
Top Bottom