Unaweza kumuacha umpendae?

Kaize ulikuwa wapi kwani? Jamaa ndo amemwambia mwanamke hamtaki sababu ya kuwa na mwanamke mwingine

Sorry Dena nilikuwa Gest, bahati mbaya nikachelewa....bado hali inabaki ile ile kwamba kumuacha itakuwa vigumu kwa sababu bado anampenda

Ni bahati mbaya kwamba alipenda asipopendwwa na hilo lipo sana katika maisha ya kila siku

Muhimu ni kupiga moyo konde, na kuangalia maisha yajayo

By the way mwambia anione (mpe address yangu) nimsahaulishe machungu au unaonaje
 
Kaizer hujaacha tu hapo kwenye bold
 
Jamani mie nauliza nipate kufahamu kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume (hawajafunga ndoa) Jana kanipigia simu kuwa huyo jamaa kapata nyumba ndogo na anamwambia kuwa waachane lakini mdada bado anampenda sana jamaa. Swali ni kuwa anashindwa kumuacha sababu anampenda sana jamaa anashindwa afanyeje? Mie nikaona leo niilete hapa. Mbaya zaidi jamaa amebadilika sana. Tumshauri Wakuu
Asipoacha yeye ataachwa...!
 
Nimtumia comments zote za humu amekubali mawazo ya kumsahau sababu ameshaambiwa ukweli kuwa hatakiwi na ameniambia atajitahidi kumsahau. Kwa niaba yake JF Thanks wote mliochangia

Hicho ndio cha muhimu kufanya ajitahid tu yana mwisho ila du tunapiga tu makelele humu kwani midomo mali yetu na ni rahis kuchangia likimpata mwenzio ila likikukuta wewe mwenyewe mwe acheni tu mapenzi, pamoja na yote mpe moyo
 
By the way mwambia anione (mpe address yangu) nimsahaulishe machungu au unaonaje
Pope Keizer....habari yako banaaa......ntaomba mshindo nyuma wa hii kitu....kumbuka rule number 3..
 
Back
Top Bottom