Unaweza kumuacha umpendae?

Sorry Dena nilikuwa Gest, bahati mbaya nikachelewa....bado hali inabaki ile ile kwamba kumuacha itakuwa vigumu kwa sababu bado anampenda

Ni bahati mbaya kwamba alipenda asipopendwwa na hilo lipo sana katika maisha ya kila siku

Muhimu ni kupiga moyo konde, na kuangalia maisha yajayo

By the way mwambia anione (mpe address yangu) nimsahaulishe machungu au unaonaje

mhhh...yale yale...kweli kuchokwa kubaya.
 
@chauro @afrodenzi mi sio mnachobishana hapo nyie wote mko sawa ila katika mtazamo tofauti njia sio tatizo cha msingi ufike unapokwenda na kwa muda unaotakiwa.Hakuna mtaalamu kwenye mambo haya ila kila mmoja ana Strategy zake so ur al ryt
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom