Unaweza kumuacha umpendae?

Gooemorning ASA.

Jamani we nae kwani hii mada hujui ilikoanzia si huyo alieambiwa hapendwi ahame kwa jamaa? Asprin hebu twende chemba maana naona wewe una mambo sana

Nimekuomba urafiki, mbona unanipotezea? Unahofu ntakutongoza? Babu hatongozi wajukuu bana.

BTW unataka twende chemba ipi?
 
Back
Top Bottom