Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
414
1,139
Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,

Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu ila sio Muarabu (Ni Mshiraz).........akanivutia sana coz watoto wa rangi hizi hunivutia sana,japo anapenda sana kuvaa juba yani ninja na me sitaki mavazi kama hayo coz ni utumwa kwa mwanamke(akiwA na mimi anatoa juba)

Tukasalimiana,akanipa namba zake,nikaondoka.........nilipofika hostel nikamtext akawa ananijibu kama vile hataki yaani zile short texts nahisi mnaelewa,basi nikaona hiki kidem miyeyusho sana nikaamua simtafuti tena na ata no ake nafuta

Siku iliyofuata akanitext nikamuuliza wewe nani?? Akajitambulisha na akaniuliza kwani namba yake sikui-save?? Nikamwambia nilisahau......Kuna siku niliamua kumu-approach akanijibu hivi;

"Wewe ni mtu wa bara na mimi ni Mpemba tena mbaya zaidi wewe ni Christian,unafikiri mimi nitaweza kuwa nawe? Please tafuta mwingine" Nikamjibu "poa" tukaendelea kuwa marafiki wa kawaida tu

Chuo kilipofungwa akarudi kwao,Kuna siku alinitafuta akiwa kwao akaniuliza mbona uwa simtaffuti ata tu kumjulia hali nikamjibu simu nilipoteza na ata no ake nilikuwa sina,tukazungumza mengi ila niliona kama vile ananitaka,ikanibidi nimkumbushie lile jambo langu na kweli akanijibu;

"Nimekubali ila naomba usije ukanisaliti coz nataka niwe nawe maisha yangu yote na ata ndoa tutafunga serikalini kama unakubali lakini coz wewe ni mlokole huwezi kuslim na me sitaki uwe Muislam coz sitaki ndoa za mitala na mimi sitaki kuwa Christian" basi tukaingia kwenye mahusiano namna hiyo

Ila nilipoomba mzigo,akanijibu yeye ni bikra hivyo hawezi kunipa mpaka siku ya ndoa,nikampiga sana maneno ila akashikilia msimamo wake,nikasema fresh ila akaniambia kama nitakuwa tayari nisubiri afike walau mwaka wa tatu ndo anipe ili ata kama atapata Ujauzito iwe rahisi kulea mtoto baada ya masomo,nikaona ana hoja za msingi sana.........anapaswa kusikilizwa

Chuo kilipofunguliwa akaja Dar,penzi likaanza kumea,sasa kuna siku moja nilimuomba simu yake akanipa ila nikaona kama vile Kuna text siielewi imeingia kwenye simu,nikamuuliza huyu ni nani akanijibu rafiki ake wa kiume,ila nilipoendelea kumuhoji sana akanipa mkanda mzima,akasema

"Fulani nisamehe,leo nitakwambia ukweli,Kuna mtu wa Imani yangu nilikuwa nae kwenye mahusiano ila alikuwa anataka sana sex,Kuna siku niliambiwa kuwa anapenda kwenda Kitambaa cheupe kununua Malaya,na mimi nilipo jihakikishia nikaamua kuachana nae ila kwa sasa hapa anataka turudiane ndio maana anatuma hizo sms" niliposoma zile texts niligundua ni kweli analosema nikamwambia Sawa ila angeniambia kabla coz hii inajenga picha nisije kumuamini tena........nikamsamehe na maisha yakasonga

Kuna siku tena tukakutana ila ghafla Kuna jamaa alikuwa anampigia sana simu ila hapokei,baadae nikaona kama vile wanachat sana,nikasema asinichezee,nikachukua simu yake kwa nguvu ila akanizuia kwa nguvu zote nisisome texts za yule mtu wanae chat nae,nikaona hapa nazungukwa,nikamwambia kuanzia leo asinitafute tena akanibembeleza sana ila nikashikilia nsimamo wangu............nikampiga chini kiaina japo nilimpenda sana

Kuna siku nilianza kummiss,nikaona nirudishe penzi coz uwa siwezi kumuacha mtu kirahisi bila kumnyadua kwanza,nikamtext akanijibu angependa tuonane nikamjibu poa........tukakutana ila nilipomwambia kuhusu kurudiana akawa anajiuma uma sana,mara ooh alijaribu kuniomba msamaha ila nikaghairi so now ameamua ku-focus kwenye masomo,nikajua tayari uwenda kämpata mwingine bora kuliko mie,nikamwambia basi fresh

Ila sasa amekuwa akinisumbua mara kwa mara na sms na kaanza kuniita me rafiki yake,mara kanimiss sana,mara nimsaidie ushauri,mara ananitumia picha zake whatsapp na email.......yaani nawaza nifanyeje ili niweze kuwa nae mbali na nimsahau kabisa kwenye maisha yangu maana naona kuwa nae karibu ni kujipa pressure tu bure

Karibuni jamvini!!!!
 
Eeh ..haya.
Ila ni muhim kupitia utoto utoto kama huu msije mkaruka stage ukaja onekana wa ajab.
Kaka zako watakushaur vizur, sisi baba zako wadogo na wajomba zako sio sawa ku deal na utoto utoto kama huu.
Sifikiri kama huu ni utoto........mapenzi ni zaidi ya hivyo unavyo fikiri
 
🤔🤔🤔🤔🤔
Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini
 
Hao bwana ni wagumu sana kukupa papa yaaa akikupe nda sana anaweza kukubali utembee nae ila ukifika kula anakupa Jicho yaaan wengi ndo walivo ila mbele hakupi.Km unampenda jirizishe km ana bikra zote mvumile mmalize uje uanze kujilia vyako.
 
Back
Top Bottom