Exactly!
Hujakosea mwanakwetu.
Naupenda to the maximum.
Addo November-Utabaki kuwa Mungu,sichoki kuusikiliza.
Abiud Misholi-Wewe ni Mungu
Martha Mwaipaja - Usikate tamaa
Kila asubuhi huwa naiskiliza na siichoki
Nakaza Mwendo.....Moyo Safi Ungalimied Arusha.
kama ulikuepo!
naupenda kinoma huo wimbo!!
Nikiziangalia mbiguu ni kazi ya mikono yake...[/QUOTEku
kumbe na wewe
umo shem wangu?inapendeza!!!
Ngastukaaa!
Nikiziangalia mbiguu ni kazi ya mikono yake...
View attachment 89595
kwa sasa naupenda huo hapo
-yesu ni mwema mt kizito makuburi by ben mukasa
-nimeonja pendo lako mt cesilia arusha by ben mukasa
-chozi la damu mt kizito makuburi by ben mukasa
-kidole juu kapotive singers bukoba by ben mukasa
-majibu ya msalaba mt don bosco tbt kimanga by ben mukasa
-lulu ipo mbinguni (simjui muimbaji)