The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 3, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji JF Platinum Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,242
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 83
  Ya kwangu nambari moja itakuwa ni: "Lulu Iko Mbinguni"

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 11,900
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 48
  mkuu unataka kuanzisha kanisa?karibu inalipa sana
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,511
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapa inabidi uweke wazi...kama ni old skul au za sasa?
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,652
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Solomon Mukubwa: Mungu mwenye Nguvu

  Napenda hii verse ' wanipa tumaini la maiiishaa baba yangu, oh duniani, natembea nawe baba yangu, sitakuacha mii ooh, Neema zako fadhili zako kila asubuhi, ni mpya tena zanifariji moyo, niamkapooo, nikikosewa na maisha..wanipa tumaini la maisha baba,,,,'

  Naisikiliza to and from work kwa frequency ya once per week...

  Nikiwa nimeshamshusha husband naongeza volume so loud and I sing on top of my voice !
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 21,483
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 63
  Bony Mwaitege -Mama.
  Hapo ndo mwisho wa kila kitu.
   
 6. U

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,917
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Mzee Mwanakijiji mi bado namkumbuka sheikh, yani kila siku nafungua iyo clip na nimeshea na marafiki zangu woooote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 13,991
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 48
  Yeah Madame B huo ni wa kwetu! Mzee Mwanakijiji kasema nyimbo za Tanzania, wengine wameshaanza kuweka za Kenya. Mimi wangu ni NANYATANYATA.
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 21,483
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 63
  Umeona ee,
  yani huo ni Mwisho wa Yote hasa kwa Wale wasio na Heshima kwa wazazi wa kike.
  Kunyatanyata ndo ile iliyoimbwa na Kijitonyama singers?
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Martha Mwaipaja - Usikate tamaa
  Kila asubuhi huwa naiskiliza na siichoki
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Kama na za mtoni kuna Gaither Vocal Band lol
  Huwa wanagusa moyo huu mgumu
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 22,717
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 83
  ewaaaa....huyo dada ananisuuza sana moyo wangu.....bi dada anaimba balaa.....
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 23,559
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 48
  Injinia Nsiande nimepapenda hapo.....hebu paandike kwa lugha ya taifa yaani kiswahili tuone inakuwaje..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,211
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 63
  palipo na halisi - jerusalem singers
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 20,191
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Nakaza Mwendo.....Moyo Safi Ungalimied Arusha.
   
 15. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Mpenzi yani wewe umepaona hapo tuuu???!!!!mmmmhhhh......we haya we
  :focus: nna nyingi sana zinazonikosha ila nikiamka asubuhi lazma nisikilize hizi nyimbo mbili 'Ni Asubuhi' na 'Anasikia' za Miriam Mauki kwakweli huwa nasikia amani na napata nguvu ya kuanza siku.
   
 16. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,429
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  kama Kuna Mtu ana link ya nyimbo mbili za Ephraim Sekeleti, 1. Baraka zako 2. Ndani ya Jina..... ewaaaaaa hapo ntampigia makofi nakumpa like ya ziada!!
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,741
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 48
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Mzee, Kuna Kaswida fulani tulikua tunaimba madrass, very nice.
  Sijui niweke hapa? It is to praise the prophet Muhamad (SAW)
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 22,717
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 83
  weka Mwali....as long as sio dansi....ni nyimbo ya ibada....hata kama una ya kibuddha.....jews.....hindu.....kosher nk....lete mambo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Katavi

  Katavi JF Platinum Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 32,396
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 63
  Kwetu Pazuri...
   
 21. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #21
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 23,559
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 48
  mpenzi ila umeadimika, mimi ndo ivo huwa nasomaga sana katikati ya mistari .....
   
 22. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #22
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 13,991
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 48
  haswaa! Umepatia hasa! Wewe ni mpenzi wangu ktk bwana.
   
 23. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #23
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 13,991
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 48
  دجسم دجن اج.س مسدج ٦٥٢٤٨٠٦٥٨٥٤٠٥٢٤٠٠٦٢٢٥٦٠٨٥٤٤٢٧٨٦٧٧٤٥٢٣٣٨١١٠٠٥٦٢٢١٢٦٦٨٢٨٢٢٦٣٥٤١٢٢٨٠٦٢٣٨٦٦٥٤١
   
 24. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #24
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,789
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 48
  Mzee Mwanakijiji christian fellowship hahahaaaaaaaaaaaa!!!
  Ogopa mwanasiasa kuwa askofu, propaganda mingiiiiiiii!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 25. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #25
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 11,900
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 48
  jee ni sahihi nyimbo za dini kupigwa bar?
   
 26. cement

  cement JF-Expert Member

  #26
  Sep 3, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 584
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Lisemee lisemee lisemee
  Kwani ni jambo lipi hilooo
  Yeye asilo liweza
  Mdada wa kikenya huyo!
   
 27. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #27
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da umenikumbusha mbali
  Tafadhali niambie asili ya nguvu zako
  Tafadhali niambie asili ya zako tangu kuzaliwa .......
   
 28. u

  ukweli2 Senior Member

  #28
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Hati hiii hati hati ya mashitaka ilifungwa.......
  Kwa majuu..kuna msela anaitwa kirk franklin:I smile...
   
 29. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji JF Platinum Member

  #29
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,242
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 83
  absolutely! hata mimi nakumbuka moja hivi hadi leo siwezi kusahau melody yake. Nakumbuka marafiki zangu wakidhikr kwenye maulidi na sisi wengine tunasubiria tu muda wa ubwabwa.
   
 30. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji JF Platinum Member

  #30
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,242
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 83
  ukiniuliza kuhusu kwaya kwa kweli the best one hadi sasa nadhani ni hao barabara ya 13... na hasa "Ayubu"!!
   

Share This Page