The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Yeah Madame B huo ni wa kwetu! Mzee Mwanakijiji kasema nyimbo za Tanzania, wengine wameshaanza kuweka za Kenya. Mimi wangu ni NANYATANYATA.

Umeona ee,
yani huo ni Mwisho wa Yote hasa kwa Wale wasio na Heshima kwa wazazi wa kike.
Kunyatanyata ndo ile iliyoimbwa na Kijitonyama singers?


Wapendwa mmenipa hamasa ya kuweka head phones masikioni na kuusikiliza wimbo huu,na kwa ushuhuda wimbo huu ukiuimba kama maombi kwa imani unaweza kukutatulia matatizo yako kama ilivyowahi kunitokea mimi...

 
Last edited by a moderator:
Simba wa Yuda ana nguruma, simba wa Yuda ana nguruma simba.

[video=youtube_share;NgA7kIynDic]http://youtu.be/NgA7kIynDic[/video]
 
1.yesu ni mwema
2.chozi la damu
3.nimeonja pendo lako
4.nafsi ya yango msifu bwana
-zote mt kizito makuburi mtunzi bernard mukasa

Naupenda sana huu wimbo kila niusikiapo, huwa tunaimba kwa furaha sana kanisani..nakumbukia enzi nipo kwaya ya chuo kikuu!

[video=youtube_share;RTbCJK7iyU0]http://youtu.be/RTbCJK7iyU0[/video]

Nimeonja pendo lako nimejua uuu mwema nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Kina mama simameni piga vigelegele nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Na kina baba nyanyuka mkapige makofi nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Watu wote nesanesa chezeni kwa furaha, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Inua mikono juu shangilieni Bwana nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Watawa washangilie makasisi.......(unaendelea)
 
Naupenda sana huu wimbo kila niusikiapo, huwa tunaimba kwa furaha sana kanisani..nakumbukia enzi nipo kwaya ya chuo kikuu![video=youtube_share;RTbCJK7iyU0]http://youtu.be/RTbCJK7iyU0[/video]Nimeonja pendo lako nimejua uuu mwema nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weweUkarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Kina mama simameni piga vigelegele nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Na kina baba nyanyuka mkapige makofi nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Watu wote nesanesa chezeni kwa furaha, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Inua mikono juu shangilieni Bwana nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe, msamaha wako Bwana na upole wako wewe. Umenitendea wema usiopingika, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.Watawa washangilie makasisi.......(unaendelea)
nikiziangalia mbingu huo nao vp kama vp npe # yako nitkutumie via whatsapp ninazo nyng sana
 
Akwiii! Ago mutu zingine naimbaga kamwimbo moja safi sana hata Mungu anafurahi. Mollel nasikia siku moja hata sijasikia tena na moyo bado anatamani kusikia yeye

Hati iiiiiii, hatiii!
Hati iiiiiii, hatiii!
Hati ya mashitaka ..........

Muru moja mwenye huruma na moyo ya Mollel aweke hapa niburudike moyoni hata ng'ombe ashangae Mollel napata wasimu kwa kucheza
 
Tabu zangu zikiisha - Rose na Anastazia
Mtegemee YESU - Ambassadors of christ.
Naona pendo - Shusho
Nishikw mkono - Sedekia/Mwakasege
Shika mikono yangu - TUMUIMBIE BWANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom