PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 659
- 1,074
Wakuu shwari!!
Ya kale ni dhahabu hii haipingwi wazee.
Iko wazi kama mbuzi .
Nyimbo za zamani hazijawahi kuchuja Wala kupoteza mvuto wake!
Hii ni kwasababu watunzi wa kipindi hicho walitumia akiri na weledi sana kutunga nyimbo zao.
Leo wasani akitoka kushiba au kuvuta bangi kitakacho wahi kuingia kichwani basi atakitungia wimbo.
Sio ajabu sikia nyimbo za matusi au kutukana serkali.
Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo majuu.
Tupia wimbo wowote ule unaopenda/unazopenda
NB : Ni Vyema Na Haki hiyo nyimbo ukaindika jina na mtunzi (msanii) wake.
Karibuni wakurungwa