The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Nyimbo za tenzi na kitabu cha kilutheri huwa zinanipa faraja kweli. Bila kusahau nyimbo za wasabato
Huu wimbo:
MUNGU AMENIHURUMIA
TENDO HILI KUBWA SANA
SIKUSTAHILI JAMBO HILI
NIMELIPATA BURE TU
SASA NAJUA HAYA YOTE
NASIFU HURUMA YAKE
huwa nikiuimba na machozi yananitoka.

Kuna wimbo wa kisabato unaitwa U MWENDO GANI NYUMBANI. huu sijaupata kwenye audio kwa hiyo naughani akapela.
 
Ule wastahili sifa za moyo wangu..nakuabudu ee Mungu wangu..nakuabudu Ee Yesu anapenda kuuimba Mwl Mwakasege.
Sijui muimbaj nani
 
Addo November-Utabaki kuwa Mungu,sichoki kuusikiliza.
Abiud Misholi-Wewe ni Mungu
 
Angela Chibalonza.. Yaweee uhimidiwe na Ebenezer. Solomon na wimbo wake wa Mungu wetu mwenye nguvu. Ila nyimbo nzuri ziko nyingi tu
Addo November-Utabaki kuwa Mungu,sichoki kuusikiliza.
Abiud Misholi-Wewe ni Mungu
 
Nikiziangalia mbiguu ni kazi ya mikono yake...

-yesu ni mwema mt kizito makuburi by ben mukasa
-nimeonja pendo lako mt cesilia arusha by ben mukasa
-chozi la damu mt kizito makuburi by ben mukasa
-kidole juu kapotive singers bukoba by ben mukasa
-majibu ya msalaba mt don bosco tbt kimanga by ben mukasa
-lulu ipo mbinguni (simjui muimbaji)
 
Mkuu, umegusa mlemle yani..

Similar Discussions

Back
Top Bottom