Walevi wakilewa na kupenda nyimbo za dini

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Naandika huku sina mbavu, yaani walevi wanachekesha sana, hasa ukiwakuta katika ulevi wao huko Bar hata barabarani.

Yaani Huwa najiuliza Hawa viumbe mbona wakiwa kawaida hawana habari na nyimbo za dini ila wakilewa Sasa hahahaa..

Utakuta wanayarudi balaa, Yani wanakata mauno ya nyimbo za dini na wanataka ziongezwe sauti kabisa.

Utakuta wanawaita wale Mameneja kwa mbwembwe zote wakitaka waongezewe sauti kubwaa kabisa nyimbo hizo.

Kuna nyimbo ambazo ni za dini ila zinaongoza kupigwa kwenye Bar na walevi wanaburudika haswaaa..

Ajabu ni kuwa walevi hao ulevi ukiwaisha hawataki kisikiliza Tena ngoma hizo za dini, wanamsikiliza Bongofuleva.

Ninavyoandika hapa kuna mwamba yupo Bar ashalewa tayari anacheza nyimbo za dini kwa furaha ya ajabu ha haaaa...
 
Walevi wengi wa Humu ni tofauti, wanaongea kilugha na kuimba singeli, maana wanakunywa chang'aa na ulanzi, halafu ni Wezi,
Unakunywa naye Anajitia kalewa kumbe anakulia timing Akuibie..
Jf imejaa vibaka, Serikali iingilie kati.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Naandika huku sina mbavu, yaani walevi wanachekesha sana, hasa ukiwakuta katika ulevi wao huko Bar hata barabarani.

Yaani Huwa najiuliza Hawa viumbe mbona wakiwa kawaida hawana habari na nyimbo za dini ila wakilewa Sasa hahahaa..

Utakuta wanayarudi balaa, Yani wanakata mauno ya nyimbo za dini na wanataka ziongezwe sauti kabisa.

Utakuta wanawaita wale Mameneja kwa mbwembwe zote wakitaka waongezewe sauti kubwaa kabisa nyimbo hizo.

Kuna nyimbo ambazo ni za dini ila zinaongoza kupigwa kwenye Bar na walevi wanaburudika haswaaa..

Ajabu ni kuwa walevi hao ulevi ukiwaisha hawataki kisikiliza Tena ngoma hizo za dini, wanamsikiliza Bongofuleva.

Ninavyoandika hapa kuna mwamba yupo Bar ashalewa tayari anacheza nyimbo za dini kwa furaha ya ajabu ha haaaa...
Weka moja basi tupate kumsoma shetani vizuri
 
Back
Top Bottom