The Best Gospel Songs - Nyimbo Bora za Dini za Tanzania

Mungu awabariki sana wote mliochangia uzi huu! Ilove you all! Be blessed by Our Almighty God! Amen!
 
Nyimbo nyingi za kilokole ni upuuzi tu wanaimba kwa hisia ambazo kimsingi hazitofautiani na hisia za reggae/bolingo/country etc kurudia rudia mananeno ujumbe ziro.....aaagh wanakera sana
 
Nyimbo nyingi za kilokole ni upuuzi tu wanaimba kwa hisia ambazo kimsingi hazitofautiani na hisia za reggae/bolingo/country etc kurudia rudia mananeno ujumbe ziro.....aaagh wanakera sana

Kijana itakuwa elimu yako ni kidato cha pili kwa upumbavu wa comments zako sorry kama nitakuwa nimekuudhi ila ujumbe umefika
 
Kijana itakuwa elimu yako ni kidato cha pili kwa upumbavu wa comments zako sorry kama nitakuwa nimekuudhi ila ujumbe umefika

Usilazimishe mawazo yako yawe ya wote, ungejua elimu yangu wala usingethubutu kuandika huo upuuzi wako
 
Usilazimishe mawazo yako yawe ya wote, ungejua elimu yangu wala usingethubutu kuandika huo upuuzi wako

Toka comment yako ya kwanza naona unaponda nyimbo za madhehebu ya wengine so inanifanya nipate waswas na elimu yako watu wenye upeo mzur wa kufikir wametoa maoni yao vizuri ila wewe nimeona unamawazo potofu ambayo maandiko yananiambia ukiona mtu anakosea mwelimishe so sijasita na wala sita sita kukuelewesha rafiki
 
BAK
Niwekee ...........sijawahi ona upendo kama huu...........
 
Last edited by a moderator:
Nyimbo nyingi za kilokole ni upuuzi tu wanaimba kwa hisia ambazo kimsingi hazitofautiani na hisia za reggae/bolingo/country etc kurudia rudia mananeno ujumbe ziro.....aaagh wanakera sana
Sema binafsi yako inakereka maana wengine wanasuuzika na kuabudu. Usiusemee moyo
 
Huu Uzi umekua bless sana kwa mtu kama mimi Dah! Zamani,kitambo sana ...longtime ago " Sower's group ...sikia" ...Mimi nabarikiwa pia na Upendo group ...1:mambo sawa sawa ...2:Bam bam...3:Mungu akupenda na all songs za Ambassador of Christ Remera Kigali Rwanda """""""" Hivyo yani.'"*
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom