Madaktari wanaanza kwa kuzungumzia Daudi Mwangosi na Mwanahalisi! Kweli siasa imeingia mahala pa kazi!
mkuu wale wa jana ni maslahi binafsi!
ndio maana nikasema you are too theoretical,hujatembelea mahospitali yetu.intern ana uwezo mkubwa sana kuliko CO na anaweza kutibu ndio maana private hospitals zinaweza kumpa ajira ya part time.hata hapo muhimbili wanagusa wagonjwa na ndio wafanyakazi wakubwa.
My point ni moja tu kama CO anatibu iweje intern aliyefukuzwa ashindwe?isitoshe some of the interns walikuwa ma-CO.kikwazo cha registration hakiwezi kusababisha intern kufa njaa mtaani.intern huyu anaweza ku opt kufanya kazi za public health n.k kamwe hawezi kukosa kazi.kwani wewe unatibu?si unafanya kazi ya afya bila kutibu!
Vaa viatu vya madaktari wanaotibu halafu toa comments zako.
huyu jamaa ni mmoja wa wasaliti wa fani ya udaktari na aliwahi kutajwa hapa jf.ni lazima awe mbishi,ndio washauri wa serikali hawa ambao hawatambui mazingira halisi ya madaktari na sekta ya afya kwa ujumla.anajua alichokifanya ndio maana anakuwa mbishi.Ubishi wenu wawili nyie hauwezi kupata mwafaka, maana mmoja pwenti zake zimelenga kwenye uhalisia, mwingine pwenti zake zinasukumwa na malengo binafsi ya ustawi wa kisiasa. Hapo ndo sisi warufiji tunasema 'kupanda ngoma,kushuka mchongoma'
Hii ndo kamati ya Dr ulimboka (Tamko leo wametoa Dr Chittage,Dr Godbless na Dr Frank,ambaondo tangu kipindi cha mgomo walikuwa wakitoa taarifa za JUMUIYA YA MADAKTARI),sioile ya Mamluki ya janaMimi nilikuwa nasubiri kusikia kauli ya MAT ama jumuiya ya madaktari iliyokuwa chini ya Dr. Ulimboka.
*Usaliti umekuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida ya mtanzania. Madaktari wameasalitiana kama waandishi wa habari wanavyosalitiana juu ya kifo cha mwenzao marehemu Daudi Mwangosi. Walikubaliana kwamba wasiripoti habari za polisi walau kwa siku hizi arobaini lakini wapi kesho yake tu wengine wakaanza kutiririka na kauli za marpc.
sugu alisema single yenu haina mashiko katafuteni single nyingine.ha ha ha!Mat mna balaa gani nyie? Mmesababisha watoto wa watu wamefutiwa eseni,mmesababisha vifo vya watanzania,mmesababisha dr uli amepigwa kwa nini hamsikii??
Mkuu Manyi, hapo ndipo unapokosea kudhani "nipo kazini"..anyway, back to the topic,personally nina mdogo wangu ambaye amekumbwa na mkasa huu, lakini ninavyojua mimi sio Intern pekee walioacha kazi(registrar and some specialists)
Madhara ya mgomo ni pamoja na kuwa nje ya kituo cha kazi,lakini it seems una uelewa mkubwa katika fani(kama wewe si daktari)...jiulize from Anatomy course till Forensic, hakuna course za kukuweka mjini?SINCERELY???!
Tatizo sisi madaktari hatupendi kujishusha , nikiwa namaanisha tuna "KIBURI"..mtu unajua huna kazi, halafu kijikazi kinajitokeza(chenye mshahara ambao si sawa na jle uliokuwa unaupata ingawa mshahara wenyewe si haba) mtu HATAKI, eti "ooh! mshahara mdogo siwezi kuifanya hicho kijikazi", mara "ooh, nitaua fani?"..sada mtu ukiwa IDLE ndio unajenga hiyo fani?!
Ni kweli it's a noble proffesion but when it comes to the time we need/we are suppose to be humble and low, we should go through that and learn from it.
And personally, hilo ndiyo nadhani ni tatizo, mkuu.
Ur right mkuu inaa maana interns hawez kushika chalk hata biology ya 4m5? Waache ujinga kazi zipo watafute mashule wapige pindi. Wapo watu na B.a zao za finance wanashika chaki waendelee kuwepo mjini huku wakisubiri wapate ajira walizosomea.
Mkuu Manyi, hapo ndipo unapokosea kudhani "nipo kazini"..anyway, back to the topic,personally nina mdogo wangu ambaye amekumbwa na mkasa huu, lakini ninavyojua mimi sio Intern pekee walioacha kazi(registrar and some specialists)
Madhara ya mgomo ni pamoja na kuwa nje ya kituo cha kazi,lakini it seems una uelewa mkubwa katika fani(kama wewe si daktari)...jiulize from Anatomy course till Forensic, hakuna course za kukuweka mjini?SINCERELY???!
Tatizo sisi madaktari hatupendi kujishusha , nikiwa namaanisha tuna "KIBURI"..mtu unajua huna kazi, halafu kijikazi kinajitokeza(chenye mshahara ambao si sawa na jle uliokuwa unaupata ingawa mshahara wenyewe si haba) mtu HATAKI, eti "ooh! mshahara mdogo siwezi kuifanya hicho kijikazi", mara "ooh, nitaua fani?"..sada mtu ukiwa IDLE ndio unajenga hiyo fani?!
Ni kweli it's a noble proffesion but when it comes to the time we need/we are suppose to be humble and low, we should go through that and learn from it.
And personally, hilo ndiyo nadhani ni tatizo, mkuu.
ni vyema kushika chaki na kufundisha kuliko kijidhalilisha na kusaliti wananchi na madaktari wao.
Mh! Wale wa jana bila shaka walitumwa kutoka pale Lumumba.
Hawa wa leo ndio tunaowajua toka sakata la mgomo wa madaktari lianze safari hii.
mgomo umevunja baraza la mawaziri bado unasema umefail?