Tamko la Jumuiya ya Madaktari Tanzania

Sasa ndugu, kama madaktari wanatakiwa kuwa ''humble and low'', na kwamba wanatakiwa wasichague kazi zenye kipato kikubwa, basi kwa nini usingewashauri waendelee kuwa humble tu katika kazi yao ya udaktari, na wasigome, eti unataka wabadilishe fani na wafanye kazi zingine...huko ndio unataka wawe humble, na wakubali kipato kidogo!!Hahaaaa!!
Huwezi kuwa serious katika hilo.., in that way you have not solved anything.

Mimi nimesikitishwa tu na content ya kauli yao ya kuomba msamaha, haiko mature enough..ni kama wameelekezwa cha kusema, lakini tendo lenyewe kwa jinsi nilivyoona walivyoachwa hewani na wenzao wajanja, wasingeliepuka. Tena naona wamechelewa sana, walitakiwa wafanye hivyo mara tu walipoona wenzao wameshindwa kuwaunga mkono, wangetangaza kusitisha mgomo na wangeomba serikali irudi mezani wajadili wakati wapo kazini.
All in all, tusiwadanganye watu waanze movement yoyote (iwe na haki au la) bila back-up. Kwa nchi yetu ni hatari sana.
Wananchi wenyewe hawakuwa tayari kusapoti madai ya madaktari. Cha kushangaza wale seniors wala hawakujishughulisha kulinda heshima ya fani yao kwa kutoa matamko kulaani chochote katika kile kilichotokea.
Watu wamekaa mtaani miezi 3, wale walioko kazini wanapongezwa kwa uvumilivu wao, nao bila aibu wanasema asante bila kuonesha kwamba sio sahihi wao kufanya kazi bila interns.
.....waacheni tu watu watapetape wanavyoweza na wananchi tujifunze kusaidiana kuishauri serikali itatue matatizo yetu ya msingi.

Tumia akili wewe, wameambiwa wajishushe kwa sasa huku wakisubiri HAKI ipatikane. Kuliko kulamba miguu ya watawala wanaotudhulumu. Utaombaje msamaha kwa madai uliyoyasimamia mwanzo hadi kusababisha vifo? Je leo wanakana madai yao? Sasa why waligoma?
 
Kwahiyo lengo la mgomo lilikuwa kuvunja baraza la mawaziri? Kwanza unaelewa maana ya kuvunjika kwa baraza la mawaziri?

sijaongelea lengo la mgomo bali nimeongelea mafanikio ya mgomo.hukubali kama mgomo ulivunja baraza la mawaziri?unajua kilichoongelewa ikulu?
 
to me the most vulnerable group ni specialists ambaye anaweza kupoteza ajira na kukosa mafao.

Afadhali umesema "to you"...lakini ukweli ni kwamba Specialists hawako as vulnerable as interns. They may lose their employment but they can go elsewhere, present their certificates and their registration and get new jobs. Interns have to finish their time for internship for them to be allowed to treat patients freely (as opposed to treating under observation, and in one specified hospital), otherwise they can keep studying or join other professions.
Interns have not established themselves enough to own viosk or to run solo in life. I don't mean that they cant survive, but it may be harder or take relatively longer to survive as compared to specialists.
Ingawa mimi ni Mhasibu, lakini Nimesema evident facts, my friends are doctors...we shared these facts!
 
Mkuu KGARE, nadhani kuna shida fulani katika usomaji wako(pls read btn the lines).. nilichosema ni kuwa MGOMO una madhara kwa pande zote

-Wananchi: Wanakosa huduma.
-Madaktari: Hawana sehemu ya kupata kipato.
-Serikali: Dosari katika uongozi, nk.

Unajua just bse u cant help everyone it does not necessarily mean you shouldnt help anyone...na ndio maana nikashauri, kwa watu wa taaluma ya udaktari while their out of their jobs, doesnt mean wasifanye kitu!

Sasa kati ya wale 314 waliosimamishwa 150 ndio walioshawishiwa kuomba msamaha, je wengine wako wapi? unadhani ni wote walikwenda nje au wako katika sehemu binafsi?

Mkuu nadhani ungekuwa ndani ya fani hii, ungeelewa ninachokimaanisha!.. Okay, tuchukulie wameomba msamaha, what did they expect?!!! kuamviwa tumewasamehe rudini kazini?... may be you dont undsrstand the magnitude ya jambo walilolifanya lakini i can tell you it's HUGE.

and if in the battle you dont want to have plan B, have a real good plan A... do you really think this what plan between the two?
 
intern is a degree holder how can you conclude kuwa hawezi kupata kazi?MD ni degree tosha ya kukuwezesha kupata kazi,registartion ya kufanya kazi ya kutibu Tanzania ni kitu kingine.MD inatosha kukupa kazi katika sekta ya afya.eleweni hili kwanza!
 
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi huu, watu wanachabganya mambo hapa.
 
Tumia akili wewe, wameambiwa wajishushe kwa sasa huku wakisubiri HAKI ipatikane. Kuliko kulamba miguu ya watawala wanaotudhulumu. Utaombaje msamaha kwa madai uliyoyasimamia mwanzo hadi kusababisha vifo? Je leo wanakana madai yao? Sasa why waligoma?

Hakuna haja ya kutumia lugha za kejeli..,We unadhani kwa nini wengi wao wale seniors na baadhi ya interns walirudi kazini ingawa madai yao hayajatimizwa?Unadhani wao hawajui mzigo huu? Kwa nini wale walioko kazini hawakushutumiwa kwa kukosa uvumilivu ili haki itendeke ndio warudi kazini?
Hapo hakuna mwenye afadhali...kati ya aliyeomba msamaha na yule aliyerudi kazini kufanya kazi katika mazingira yaleyale.

This is the fact...DOCTORS (SAWA NA WATANZANIA WENGI TU) WERE NOT READY TO FIGHT FOR THEIR HEALTH SECTOR TO THE FULLEST. WAKAJIPANGE!!
 
sijaongelea lengo la mgomo bali nimeongelea mafanikio ya mgomo.hukubali kama mgomo ulivunja baraza la mawaziri?unajua kilichoongelewa ikulu?

Utaitaje kitu mafanikio yako kama siyo lengo lako. Basi sema pia ujenzi wa daraja la Kigamboni ni mafanikio ya mgomo.
Au nikuulize hivi, madaktari wamenufaika vipi na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri mpaka uyaone kama mafanikio kwao?

Kwanza ngoja nikuulize maswali kidogo,
kwanini viongozi wa inayojiita jumuiya ya madaktari wamemzungumzia wangosi leo wakati amefariki siku nyingi? Je, walingoja mpaka interns walalamike kusalitiwa ndio waone sababu ya kutoa pole kwa familia ya Mwangosi na waandishi?

kwanini tangu gazeti la Mwanahalisi lifutwe walikuwa kimya? walingoja interns walalamike kusalitiwa ndio wanatoe tamko la kusikitishwa na kufutwa kwa Mwanahalisi.
 
intern is a degree holder how can you conclude kuwa hawezi kupata kazi?MD ni degree tosha ya kukuwezesha kupata kazi,registartion ya kufanya kazi ya kutibu Tanzania ni kitu kingine.MD inatosha kukupa kazi katika sekta ya afya.eleweni hili kwanza!

Hata BCOM,LLB ni degree holders, lakini wako kibao mtaani bila kazi. Siyo kwamba hawa BCOM, lLB etc hawataki kufanya kazi, swala ni kwamba kazi kupata ni ngumu sana. Kazi ya kutibu katika hospitali za serikali inapatikana by default tofauti sana na kazi nyingine. Taja mfano wa kazi ambayo MD asiyefanya intern anaweza kupata. Mpaka kwenye research siku hizi wanataka cheti cha internship.
 
Utaitaje kitu mafanikio yako kama siyo lengo lako. Basi sema pia ujenzi wa daraja la Kigamboni ni mafanikio ya mgomo.
Au nikuulize hivi, madaktari wamenufaika vipi na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri mpaka uyaone kama mafanikio kwao?

Kwanza ngoja nikuulize maswali kidogo,
kwanini viongozi wa inayojiita jumuiya ya madaktari wamemzungumzia wangosi leo wakati amefariki siku nyingi? Je, walingoja mpaka interns walalamike kusalitiwa ndio waone sababu ya kutoa pole kwa familia ya Mwangosi na waandishi?

kwanini tangu gazeti la Mwanahalisi lifutwe walikuwa kimya? walingoja interns walalamike kusalitiwa ndio wanatoe tamko la kusikitishwa na kufutwa kwa Mwanahalisi.

lengo la mwanzo kabisa wakati mgomo unaanza ni kuwaondoa viongozi wa wizara ya afya na walitajwa kwa majina(jitahidi kuwa na kumbukumbu)
mwangosi na mwanahalisi wametajwa kama sehemu au kumbukumbu ya unyama aliofanyiwa ulimboka.
 
Hakuna haja ya kutumia lugha za kejeli..,We unadhani kwa nini wengi wao wale seniors na baadhi ya interns walirudi kazini ingawa madai yao hayajatimizwa?Unadhani wao hawajui mzigo huu? Kwa nini wale walioko kazini hawakushutumiwa kwa kukosa uvumilivu ili haki itendeke ndio warudi kazini?
Hapo hakuna mwenye afadhali...kati ya aliyeomba msamaha na yule aliyerudi kazini kufanya kazi katika mazingira yaleyale.

This is the fact...DOCTORS (SAWA NA WATANZANIA WENGI TU) WERE NOT READY TO FIGHT FOR THEIR HEALTH SECTOR TO THE FULLEST. WAKAJIPANGE!!

hapana kejeli mkuu ila tambua kurudi kazini ni tofauti na hawa walio omba msamaha eti Walirubuniwa huo ni upuuzi. How come mtu mzima urubuniwe? Iliyochemka ni serikali ingefukuza wote mpaka seniors kama Jk ana ubavu huo. Wamewaonea tu hawa Interns ila haki haipotei.
 
Mkuu KGARE, nadhani kuna shida fulani katika usomaji wako(pls read btn the lines).. nilichosema ni kuwa MGOMO una madhara kwa pande zote

-Wananchi: Wanakosa huduma.
-Madaktari: Hawana sehemu ya kupata kipato.
-Serikali: Dosari katika uongozi, nk.

Unajua just bse u cant help everyone it does not necessarily mean you shouldnt help anyone...na ndio maana nikashauri, kwa watu wa taaluma ya udaktari while their out of their jobs, doesnt mean wasifanye kitu!

Sasa kati ya wale 314 waliosimamishwa 150 ndio walioshawishiwa kuomba msamaha, je wengine wako wapi? unadhani ni wote walikwenda nje au wako katika sehemu binafsi?

Mkuu nadhani ungekuwa ndani ya fani hii, ungeelewa ninachokimaanisha!.. Okay, tuchukulie wameomba msamaha, what did they expect?!!! kuamviwa tumewasamehe rudini kazini?... may be you dont undsrstand the magnitude ya jambo walilolifanya lakini i can tell you it's HUGE.

and if in the battle you dont want to have plan B, have a real good plan A... do you really think this what plan between the two?

Sipingani sana nawewe katika madhara ya mgomo na wala sijasema what they did is the best option. But you have to agree with me, there was a big fault in solidarity to win for the whole sector. Hao waliofukuzwa walipoteza sehemu yao kubwa kuipigania sekta nzima, badala yake mapambano yakageuka kuwa ya mtu binafsi. Kujishikiza mahali, kwenda nje.., kufanya biashara, etc...Yote hayo ni mapambano binafsi kujikomboa wenyewe na sio proffesion wala sekta ya afya, maana after everything is said and done, na hata kama serikali ingewarudisha baadaye, bado wasingekuwa wame-achieve walichotaka mwanzoni, so it will remain individual success. Madaktari wote wangesimamia misimamo yao, tungewaona heroes wa haki za wananchi na za fani yao, lakini walikubali kugawanyika, kwa hiyo wakatawalika.
Mi nasema hawajafanikiwa sana katika kuomba msamaha, lakini hata wangerudi bila kuomba msamaha bado tusingewahesabu ni watu waliofanikiwa kuleta mabadiliko, unless mambo yao yangetimizwa yote kwanza(which seems impossible kwa kauli ya serikali).
 
Ni ukweli usiopingika kuwa udakitari haupatikani kwa kuteuliwa,kupita bila kupingwa au kwa kura za maoni
 
Hata BCOM,LLB ni degree holders, lakini wako kibao mtaani bila kazi. Siyo kwamba hawa BCOM, lLB etc hawataki kufanya kazi, swala ni kwamba kazi kupata ni ngumu sana. Kazi ya kutibu katika hospitali za serikali inapatikana by default tofauti sana na kazi nyingine. Taja mfano wa kazi ambayo MD asiyefanya intern anaweza kupata. Mpaka kwenye research siku hizi wanataka cheti cha internship.

kwa hiyo hao uliowataja wameshindwa kuishi kiasi cha kufikia kuzikana dhamiri zao?
kuna intern waliofukuzwa wanatibu kwenye DDh,nimewaona na kuwapa moyo!kuna interns waliofukuzwa wameenda kufundisha basic physiology na hawa wanahitaji registration(au cheti cha internship)?
 
hapana kejeli mkuu ila tambua kurudi kazini ni tofauti na hawa walio omba msamaha eti Walirubuniwa huo ni upuuzi. How come mtu mzima urubuniwe? Iliyochemka ni serikali ingefukuza wote mpaka seniors kama Jk ana ubavu huo. Wamewaonea tu hawa Interns ila haki haipotei.

Kama umesoma post yangu ya mwanzo nilisema hata mimi kwa kweli sikufurahishwa na content za tamko la msamaha, halijaonekana timamu vizuri, haliko mature wala technical...hawakuwa na haja ya kuishutumu MAT wala kumsingizia yeyote kwamba amewadanganywa. Walipaswa wazungumzie tu kujutia kwao, au kutafakari kwao ndio iliyopelekea hiyo hatua. Hapo mimi sikupapenda. Lakini kama wewe ni Open-minded hauwezi kubishana na comment zangu. Utajikuta unaongezea tu maeneo ya kujadili zaidi kuboresha, hahaa!.
 
tusubiri tuone nani 'wachache' na wapi wanatumiwa.
Hapa kuna wanaotumiwa na upinzani , wanaotumiwa na serikali na wale wasiokuwa upande wowote hawa ndio wengi na hawa nadhani ndio walio omba radhi

Waliomba radhi kwa kuwa
A} Madai waliyokuwa wanayasema yalikuwa ya uongo!
B} Madai waliyokuwa wanayasema yametimizwa na kwa wakati
C} Waliingia katika mgomo kwa shuruti with gun on head finger on the triger!
D} Hawakujua wanataka nini wakati wa mgomo!

Wanaomba radhi kwa nani!

A} Watanzania?
B} Rais { Yeye ana mamlaka gani ya kuwasamehe! Yeye ni mahakama? Au yuko juu ya sheria? Maana hili suala liko mahakamani}
C} Uli aliyepona kufa akaiwatetea kwa kumsaliti?
D}....................
E}....................
F}....................

Wale watoto jina lao linalowafaa kabisa kama ingekuwa ni muktadha wa mapenzi ni malaya! Yaani mwanamke asiye na msimamo. Pambaf.
 
kwa hiyo hao uliowataja wameshindwa kuishi kiasi cha kufikia kuzikana dhamiri zao?
kuna intern waliofukuzwa wanatibu kwenye DDh,nimewaona na kuwapa moyo!kuna interns waliofukuzwa wameenda kufundisha basic physiology na hawa wanahitaji registration?

Sasa hapo utasema wamekomboa sekta ya afya au wamejikomboa wenyewe? Sio madaktari wote wenye nia na uwezo wa kufundisha, etc...Hapo mi niseme tu...ALL DOCTORS HAVE LOST THIS BATTLE. They needed to be one, strategic, unyielding untill they succeed. Mimi nimeguswa sana na mambo ya madaktari na nimefatilia kwa ukaribu kupitia jamaa zangu, tatizo kubwa nimegundua ni lack of solidarity and poor communication and clear plan kabla hawakuanza mgomo. Walimu walijitahidi sana ki-mkakati, ingawa wao pia walipungukiwa mahali, lakini nakwambia wao walikuwa wako vizuri kuliko madaktari.
 
Kama umesoma post yangu ya mwanzo nilisema hata mimi kwa kweli sikufurahishwa na content za tamko la msamaha, halijaonekana timamu vizuri, haliko mature wala technical...hawakuwa na haja ya kuishutumu MAT wala kumsingizia yeyote kwamba amewadanganywa. Walipaswa wazungumzie tu kujutia kwao, au kutafakari kwao ndio iliyopelekea hiyo hatua. Hapo mimi sikupapenda. Lakini kama wewe ni Open-minded hauwezi kubishana na comment zangu. Utajikuta unaongezea tu maeneo ya kujadili zaidi kuboresha, hahaa!.
Hawa Intern hawana moyo uvumilivu, ipo bora uteseke ukiwa huna kazi na kuidai haki ambayo mwisho utaipata au uvumilie mateso ukiwa ndani ya ajira huku ukiwa umeshajimaliza kwa kuomba msamaha kwamba hutadai haki tena?
 
Mat mna balaa gani nyie? Mmesababisha watoto wa watu wamefutiwa eseni,mmesababisha vifo vya watanzania,mmesababisha dr uli amepigwa kwa nini hamsikii??

Kumbe Uli alipigwa sababu ya Mgomo! Owkey kumbe ni serikali basi ndo ilihusika kama Mwanahalisi lilivyosema? Sasa kwa nn limefungiwa? Kwa nn dhaifu alikana mara tatu kuwa serikali yake aihusiki? Vip na yule bwana Joshua Mulundi mlimtoa wapi?
 
Sasa hapo utasema wamekomboa sekta ya afya au wamejikomboa wenyewe? Sio madaktari wote wenye nia na uwezo wa kufundisha, etc...Hapo mi niseme tu...ALL DOCTORS HAVE LOST THIS BATTLE. They needed to be one, strategic, unyielding untill they succeed. Mimi nimeguswa sana na mambo ya madaktari na nimefatilia kwa ukaribu kupitia jamaa zangu, tatizo kubwa nimegundua ni lack of solidarity and poor communication and clear plan kabla hawakuanza mgomo. Walimu walijitahidi sana ki-mkakati, ingawa wao pia walipungukiwa mahali, lakini nakwambia wao walikuwa wako vizuri kuliko madaktari.

tulia na usome posts zangu vizuri.sio busara kurukia posts!kwa taarifa yako kila daktari ni mwalimu wa daktari...
 
Back
Top Bottom