Tamko la Jumuiya ya Madaktari Tanzania

Mkuu bagwell,hii si bi taarifa ya jana, then ukweli huo uko wapi,yaani (content ya thread yako ambayo itaendana na thread title)?

Kaka, huyo jamaa keshaanda watu wake utaona watakvyo comment, jana alikuwa busy kuandaa propaganda akasahau wazalendo washainyaka tangu jana! Inawezekana akawa ni mmoja wa mamluki walioshinikizwa kuoma msamaha kisiasa(short lived) wakasahau impact kitaaluma (long lived)
 
Mkuu moto2012, naona mheshimiwa amekimbia...halafu ndiyo shida ya kutokuwa mfuatiliaji, hii taarifa ipo jamvini for about 21hrs(almost a day)..halafu inakuja kuwa posted bila mpango...anyway tuwaache mkuu wangu
 
Back
Top Bottom