Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki si utu, na kuwa chama hicho watumie muda huu kushikamana kwa kuimarisha upendo.
Hayo yamezungumzwa katika mkutano wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na waandishi wa Habari ulioongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheik Alhad Mussa, wakiongelea juu ya Siku ya Maridhiano Tanzania ambapo Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku itakayofanyika Machi 6/2024, ambapo zoezi hilo litaenda sanjari na zoezi la uchangiaji damu na upandaji miti.
EFM