kwenye kundi la mamba kenge wanapatikana.sitegemei great thinker ameshindwa kutambua hili.haturuhusiwi kuandika majina ya watu humu ... mkuu trust me kwenye mgomo wenu kuna watu walikuwa wakishiriki ilimradi tu msiwaone wasaliti lakini mioyoni hamkuanao walikuwa wakiwaza zaidi hatima ya kazi zao za ziada mbali na kutibu ... jaribu kuchunguza mwenyewe ushiriki wa wakuu wa department, miradi, DMO, RMO na wale wenye majina makubwa mjini
Full confusion...wengine wanageuza fani kama hizi ni vile vyeo vya siasa wanavyogombania na kupita bila kupingwa.
njia ya mwongo ni fupi!!
Matamko yanakuwa mengi kuliko matendo.
tunajua mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ni dr ulimboka, je na yeye ameshiriki kuandika taarifa hii??
Full confusions!
Wote tunawaona sawa tu! Tena hao unaosema ni wenye tamko safi ni hasa waliosababisha vifo vya walalahoi wengi sana.Tamko safi kabisa la madaktari.Wale vibaraka wa jana wamejivua nguo.
Na wale wa jana walitoka wapi?
Uoga na ubinafsi unadhihirika waziwazi. Taarifa inatolewa bila jina la kiongozi aliyotoa, why? Kwanini taarifa inatolewa mafichoni? mbona mwanzo walikuwa wanaita waandishi wa habari live?
Hii inayojiita jumuiya ya madaktari bado haijitambui. Hata inavyoongea ni kama chama kinachojaza fomu ya kuipeleka kwa Tendwa!!!
hujaangalia Tv mkuu?waliotoa taarifa ni Godbles,chitage na Kagoro.najua umeumia sana kwani wewe ni miongoni mwa madaktari mamluki!ishauri serikali ishughulikie matatizo ya sekta ya afya na sio kutumika kuaandaa propaganda.kwa nini hutaki kuona huduma bora za afya nchini?au kwa kuwa wewe umefanikiwa kupitia hii corrupt system,acha unafiki ndugu yangu.
Uoga na ubinafsi unadhihirika waziwazi. Taarifa inatolewa bila jina la kiongozi aliyotoa, why? Kwanini taarifa inatolewa mafichoni? mbona mwanzo walikuwa wanaita waandishi wa habari live?
Hii inayojiita jumuiya ya madaktari bado haijitambui. Hata inavyoongea ni kama chama kinachojaza fomu ya kuipeleka kwa Tendwa!!!
Mkuu Genecius Kaiza, wale wasaliti mkuu, wenye kutaka mambo yaende bila mpangilio..wenye kutojiamibi na maamuzi pindi hatua ngumu zinapohitajika kutekelezwa.
Soma tena na tena ripoti yao. Hakuna sehemu wanayosema kuwa mgomo ni halali. Viongozi wote wameukana mgomo mahakamani.
The fact kwamba madaktari walirudi kazini kusave ajira zao ni ujumbe tosha kuwa wameomba msamaha. Sasa wakati hayo yanatokea, hawa interns walikuwa wameshafukuzwa, hawakupata fursa ya kuomba msamaha ndio maana wanaomba kwa nji ahii. Na wao wangekuwa na fursa kama mliyotumia nyinyi ya kurudi kazini wangerudi. Wao hawana leseni ya kufanya kazi sehemu nyingine. Nyinyi mliokuwa na leseni lakini mkaogopa kurisk maisha ya ajira zenu. Kwanini mnakuwa na roho ngumu kiasi cha kutokujali wenzenu???!
Mgomo umefail, kimsingi kwa sababu haukuwa na malengo mazuri. Mgomo ulianza kama vuguvugu la kutetea haki za interns wa Muhimbili, lakini umeishia kuwatesa interns wa nchi nzima. Kumbuka kuwa interns wa Muhimbili walisema hawataki kwenda kufanya internship sehemu nyingine kwa sababu huko (kama Ifakara, Mwananyamala, Amana na kwingineko) hakuna kiwango cha kutosha kivifaa na wasimamizi.
Hao uliowataja wameshatoa matamko mangapi tangu mgomo uanze? je matamko hayo yamemsaidia nini daktari? Watu hawaishi kwa matamko ati!!!
how many young individuals outhere are jobless?unadhani ni nani wa kuwakomboa kama ninyi wasomi mtaogopa kuishi bila kazi?the strike was and still valid for the sake of mtanzania maskini.Wewe unaongea kwa urahisi sana, wenzako wale wa jana hawana kazi, unajua huu ni mwezi wa ngapi? Wengi wao wamekuje mjini kwa sababu ya Chuo na wengi walikuwa pale MNH. Nani anawpa pesa ya kujikim? ni MAT au Jumuiya ya Madaktrai? Ni rahisi kusema hivyo kwa kuwa wewe unakula mshahara wako mwisho wa mwezi! Wenzako wananjaa! Wafanyeje? Na wengine kumbuka walikuwa wameanza kutegemewa. Mkakati walishaukosea Madaktari toka mwanzo, kwani walitakiwa wote kwa pamoja, Interns, REgistrars, Residents na Ma Chief wote wakaze buti. Hali ilipofikia ya kuwatoa kafara Interns ni upuuzi tu. Kumbuka, mwisho wa siku kila mtu anatafuta maisha yake na familia yake!
Soma tena na tena ripoti yao. Hakuna sehemu wanayosema kuwa mgomo ni halali. Viongozi wote wameukana mgomo mahakamani.
The fact kwamba madaktari walirudi kazini kusave ajira zao ni ujumbe tosha kuwa wameomba msamaha. Sasa wakati hayo yanatokea, hawa interns walikuwa wameshafukuzwa, hawakupata fursa ya kuomba msamaha ndio maana wanaomba kwa nji ahii. Na wao wangekuwa na fursa kama mliyotumia nyinyi ya kurudi kazini wangerudi. Wao hawana leseni ya kufanya kazi sehemu nyingine. Nyinyi mliokuwa na leseni lakini mkaogopa kurisk maisha ya ajira zenu. Kwanini mnakuwa na roho ngumu kiasi cha kutokujali wenzenu???!
Mgomo umefail, kimsingi kwa sababu haukuwa na malengo mazuri. Mgomo ulianza kama vuguvugu la kutetea haki za interns wa Muhimbili, lakini umeishia kuwatesa interns wa nchi nzima. Kumbuka kuwa interns wa Muhimbili walisema hawataki kwenda kufanya internship sehemu nyingine kwa sababu huko (kama Ifakara, Mwananyamala, Amana na kwingineko) hakuna kiwango cha kutosha kivifaa na wasimamizi.
Hao uliowataja wameshatoa matamko mangapi tangu mgomo uanze? je matamko hayo yamemsaidia nini daktari? Watu hawaishi kwa matamko ati!!!
wewe ndiye mwoga na msaliti namba moja!kwa nini hutaki kuona sekta ya afya nchini ikiboreka?kwa nini usitumie elimu yako kuishauri serikali badala yake unafanya propaganda kurudisha nyuma juhudi za madaktari wenzako?mpango mlioandaa umeshindwa na sasa una backfire!stay tuned!mmelianzisha wenyewe!
how many young individuals outhere are jobless?unadhani ni nani wa kuwakomboa kama ninyi wasomi mtaogopa kuishi bila kazi?the strike was and still valid for the sake of mtanzania maskini.
kwa taarifa yako chitage,godbles na kagoro ni intern doctors.they feel the same pinch as most of the interns do!mkichangia mtafute facts kwanza na sio kukurupuka.Mkuu, hiki unachosema ndicho sahihi kabisa, kama ni umoja wao na kutaka hali bora za sector ya afya kwa nini wasikomae na mgomo ilihali wawaache interns ambao hawana hata leseni? Huu ni upuuzi sana. AKINA DR. Chitange wakumbuke kuwa hawa intern wanapata tabu ya maisha kwa sasa, haya matamko yao hayasaidii kitu chochote! Mgomo imeishafail!
ukiacha interns kuna registrars waliopoteza kazi zao,najua unalijua hili lakini ni kiburi chako cha kifisadi na kidini tu.
Siwezi kuunga mkono jitahada za kurudisha nyuma maendeleo ya nchi na jitihada zinazojenga tabia ya uvivu na kukosekana uwajibikaji. Nchi iliyo nyuma kimaendeleo can not afford recreational migomo kama hii mnayoitisha mkijisikia tu hamu ya likizo. Nimeandika kwa kirefu katika majukwaa mbalimbali kwanini sikuunga mkono mgomo wa madaktari. Nimeandika pia awali sana kuwa hawa interns jambo lao wasiachiwe peke yao, bali lishughulikiwe na uongozi wa madaktari wa ngazi ya kitaifa.
Wanacholalamika hawa interns ni kutelekezwa. Sijaona mahali ulipojibu hoja yao ya kutelekezwa. Mtu yuko mtaani miezi mitani bila kazi, amepanga nyumba, ana wanaomtegemea, hajui hatma yake - wewe mnampa tamko? What will tamko do to his or her life?