Tamko la Jumuiya ya Madaktari Tanzania

Madaktari wanaanza kwa kuzungumzia Daudi Mwangosi na Mwanahalisi! Kweli siasa imeingia mahala pa kazi!

Mkuu Maundumula, kwani wakitoa POLE na kuonyesha kuguswa kuhusu hayo kuna shida, mbona Mh. Rais anatoa pole na kutuma salamu za rambi rambi nje lakini ndani ya nchi yake mwenyewe anashindwa kutoa pole??!

Sasa si kila kitu lazima tumuige Mh.Rais, kama yeye alishindwa au hakuguswa kabisa, wapo watanzania wanaoguswa katika haya..Je, ubaya katika hili uko wapi mkuu?
 
ndio maana nikasema you are too theoretical,hujatembelea mahospitali yetu.intern ana uwezo mkubwa sana kuliko CO na anaweza kutibu ndio maana private hospitals zinaweza kumpa ajira ya part time.hata hapo muhimbili wanagusa wagonjwa na ndio wafanyakazi wakubwa.
My point ni moja tu kama CO anatibu iweje intern aliyefukuzwa ashindwe?isitoshe some of the interns walikuwa ma-CO.kikwazo cha registration hakiwezi kusababisha intern kufa njaa mtaani.intern huyu anaweza ku opt kufanya kazi za public health n.k kamwe hawezi kukosa kazi.kwani wewe unatibu?si unafanya kazi ya afya bila kutibu!
Vaa viatu vya madaktari wanaotibu halafu toa comments zako.

Ubishi wenu wawili nyie hauwezi kupata mwafaka, maana mmoja pwenti zake zimelenga kwenye uhalisia, mwingine pwenti zake zinasukumwa na malengo binafsi ya ustawi wa kisiasa. Hapo ndo sisi warufiji tunasema 'kupanda ngoma,kushuka mchongoma'
 
huyu jamaa ni mmoja wa wasaliti wa fani ya udaktari na aliwahi kutajwa hapa jf.ni lazima awe mbishi,ndio washauri wa serikali hawa ambao hawatambui mazingira halisi ya madaktari na sekta ya afya kwa ujumla.anajua alichokifanya ndio maana anakuwa mbishi.
 
Hili tamko limetokea mafichoni huko torabora.jamaa wanatumia teknik za kigaidi
 
Nyie mat mmeua watanzania wasio na hatia bado mnajifanya kuziba masikio na pamba
 
Mat mna balaa gani nyie? Mmesababisha watoto wa watu wamefutiwa eseni,mmesababisha vifo vya watanzania,mmesababisha dr uli amepigwa kwa nini hamsikii??
 
Mimi nilikuwa nasubiri kusikia kauli ya MAT ama jumuiya ya madaktari iliyokuwa chini ya Dr. Ulimboka.
*Usaliti umekuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida ya mtanzania. Madaktari wameasalitiana kama waandishi wa habari wanavyosalitiana juu ya kifo cha mwenzao marehemu Daudi Mwangosi. Walikubaliana kwamba wasiripoti habari za polisi walau kwa siku hizi arobaini lakini wapi kesho yake tu wengine wakaanza kutiririka na kauli za marpc.
Hii ndo kamati ya Dr ulimboka (Tamko leo wametoa Dr Chittage,Dr Godbless na Dr Frank,ambaondo tangu kipindi cha mgomo walikuwa wakitoa taarifa za JUMUIYA YA MADAKTARI),sioile ya Mamluki ya jana
 
uongozi wajumuiya ya madaktari ulikaa kimya muda mrefu,hii ndio sababu iliyofanya mamluki kutamalaki,sasa ni muda muafaka wa kutoa matamko na updates na pia wenyekiti ulimboka atoke mapumzikoni ili kuendelaza mapambano.the batlte is on!
 
Mkuu Manyi, hapo ndipo unapokosea kudhani "nipo kazini"..anyway, back to the topic,personally nina mdogo wangu ambaye amekumbwa na mkasa huu, lakini ninavyojua mimi sio Intern pekee walioacha kazi(registrar and some specialists)

Madhara ya mgomo ni pamoja na kuwa nje ya kituo cha kazi,lakini it seems una uelewa mkubwa katika fani(kama wewe si daktari)...jiulize from Anatomy course till Forensic, hakuna course za kukuweka mjini?SINCERELY???!

Tatizo sisi madaktari hatupendi kujishusha , nikiwa namaanisha tuna "KIBURI"..mtu unajua huna kazi, halafu kijikazi kinajitokeza(chenye mshahara ambao si sawa na jle uliokuwa unaupata ingawa mshahara wenyewe si haba) mtu HATAKI, eti "ooh! mshahara mdogo siwezi kuifanya hicho kijikazi", mara "ooh, nitaua fani?"..sada mtu ukiwa IDLE ndio unajenga hiyo fani?!

Ni kweli it's a noble proffesion but when it comes to the time we need/we are suppose to be humble and low, we should go through that and learn from it.

And personally, hilo ndiyo nadhani ni tatizo, mkuu.

Ur right mkuu inaa maana interns hawez kushika chalk hata biology ya 4m5? Waache ujinga kazi zipo watafute mashule wapige pindi. Wapo watu na B.a zao za finance wanashika chaki waendelee kuwepo mjini huku wakisubiri wapate ajira walizosomea.
 
ni vyema kushika chaki na kufundisha kuliko kijidhalilisha na kusaliti wananchi na madaktari wao.
 
Mkuu Manyi, hapo ndipo unapokosea kudhani "nipo kazini"..anyway, back to the topic,personally nina mdogo wangu ambaye amekumbwa na mkasa huu, lakini ninavyojua mimi sio Intern pekee walioacha kazi(registrar and some specialists)

Madhara ya mgomo ni pamoja na kuwa nje ya kituo cha kazi,lakini it seems una uelewa mkubwa katika fani(kama wewe si daktari)...jiulize from Anatomy course till Forensic, hakuna course za kukuweka mjini?SINCERELY???!

Tatizo sisi madaktari hatupendi kujishusha , nikiwa namaanisha tuna "KIBURI"..mtu unajua huna kazi, halafu kijikazi kinajitokeza(chenye mshahara ambao si sawa na jle uliokuwa unaupata ingawa mshahara wenyewe si haba) mtu HATAKI, eti "ooh! mshahara mdogo siwezi kuifanya hicho kijikazi", mara "ooh, nitaua fani?"..sada mtu ukiwa IDLE ndio unajenga hiyo fani?!

Ni kweli it's a noble proffesion but when it comes to the time we need/we are suppose to be humble and low, we should go through that and learn from it.

And personally, hilo ndiyo nadhani ni tatizo, mkuu.

Sasa ndugu, kama madaktari wanatakiwa kuwa ''humble and low'', na kwamba wanatakiwa wasichague kazi zenye kipato kikubwa, basi kwa nini usingewashauri waendelee kuwa humble tu katika kazi yao ya udaktari, na wasigome, eti unataka wabadilishe fani na wafanye kazi zingine...huko ndio unataka wawe humble, na wakubali kipato kidogo!!Hahaaaa!!
Huwezi kuwa serious katika hilo.., in that way you have not solved anything.

Mimi nimesikitishwa tu na content ya kauli yao ya kuomba msamaha, haiko mature enough..ni kama wameelekezwa cha kusema, lakini tendo lenyewe kwa jinsi nilivyoona walivyoachwa hewani na wenzao wajanja, wasingeliepuka. Tena naona wamechelewa sana, walitakiwa wafanye hivyo mara tu walipoona wenzao wameshindwa kuwaunga mkono, wangetangaza kusitisha mgomo na wangeomba serikali irudi mezani wajadili wakati wapo kazini.
All in all, tusiwadanganye watu waanze movement yoyote (iwe na haki au la) bila back-up. Kwa nchi yetu ni hatari sana.
Wananchi wenyewe hawakuwa tayari kusapoti madai ya madaktari. Cha kushangaza wale seniors wala hawakujishughulisha kulinda heshima ya fani yao kwa kutoa matamko kulaani chochote katika kile kilichotokea.
Watu wamekaa mtaani miezi 3, wale walioko kazini wanapongezwa kwa uvumilivu wao, nao bila aibu wanasema asante bila kuonesha kwamba sio sahihi wao kufanya kazi bila interns.
.....waacheni tu watu watapetape wanavyoweza na wananchi tujifunze kusaidiana kuishauri serikali itatue matatizo yetu ya msingi.
 
ni vyema kushika chaki na kufundisha kuliko kijidhalilisha na kusaliti wananchi na madaktari wao.

si ndio hapo kaka hawa itakua dharau tu labda kufundisha wanaona namna gani wakati wengine shule zinatuweka mjini na bado mishe/deal tunapiga kama kawaida.
Interns wasaliti ACHENI UPUUZI.

my take
Dhaifu ajiandae walimu tunapasha now kwa 2nd round.
HAKI HAIPOTEI,HUCHELEWESHWA TU.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom