hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
Mkuu Manyi, hapo ndipo unapokosea kudhani "nipo kazini"..anyway, back to the topic,personally nina mdogo wangu ambaye amekumbwa na mkasa huu, lakini ninavyojua mimi sio Intern pekee walioacha kazi(registrar and some specialists)
Madhara ya mgomo ni pamoja na kuwa nje ya kituo cha kazi,lakini it seems una uelewa mkubwa katika fani(kama wewe si daktari)...jiulize from Anatomy course till Forensic, hakuna course za kukuweka mjini?SINCERELY???!
Tatizo sisi madaktari hatupendi kujishusha , nikiwa namaanisha tuna "KIBURI"..mtu unajua huna kazi, halafu kijikazi kinajitokeza(chenye mshahara ambao si sawa na jle uliokuwa unaupata ingawa mshahara wenyewe si haba) mtu HATAKI, eti "ooh! mshahara mdogo siwezi kuifanya hicho kijikazi", mara "ooh, nitaua fani?"..sada mtu ukiwa IDLE ndio unajenga hiyo fani?!
Ni kweli it's a noble proffesion but when it comes to the time we need/we are suppose to be humble and low, we should go through that and learn from it.
And personally, hilo ndiyo nadhani ni tatizo, mkuu.