Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Mmeshindaje wakuu,

Mara nyingi nimekuwa nikiota ndoto kama napaa hewani, imetimia miaka miwili sasa toka nianze kuota ndoto ya namna hii. Ndoto hii ninaiota atleast mara moja kwa mwezi, naota nikiwa katika mazingira tofauti nikawa nipo mitaani tu napaa hewani watu wananishangaa nikifika kwenye nyaya za umeme nina zikwepa nazidi kwenda juu zaidi.

Siku nyingine naota nipo kwenye ndege halafu ndege imepata ajali wengine wanapata madhara lakini mimi ninaendelea kuelea angani. Ili nipae angani huwa natakiwa niinyooshe mikono hewani dnipo napaa hewani zaidi na nikitaka kushuka chini nashusha mikono chini nikitaka kwenda angani tena nanyosha mikono juu.

Muda huo nikiwa angani huwa nakuwa na furaha sana na hatimae nikiamka asubuhi siku yangu huwa ya furaha sana.

Michango yenu wakuu, ni kawaida kuota ndoto inayojirudia rudia mara nyingi? Ndoto hii ina maana gani?
ASANTENI.

CC: MziziMkavu Pasco
 
Last edited by a moderator:
6874316499895981986

CC: Mzizi mkavu Pasco
 
una imani gani? Tafsiri yake ni kuwa utapitia mambo magumu sana yasiyowezekana kuyashinda katika hali ya kibinadam lakini Mungu muweza atakusaidia. Mfanye Mungu tumaini na kama huzingatii imani anza leo fasta. Ingekua unapaa afu unaanguka chini ningesema mengine lakin kama siku inaisha kwa furaha nakupongeza sn sn mkuu
 
Yatakuwa na Majini au Mizimu ya kwenu inakupenda sana ndio maana wanakutembeza sehemu tofauti tofauti.
NB: ukiendelea kusimulia kila mtu kama unavyofanya hapa jukwaani unaanza kuwa hukumbuki ulichoota na hatimaye utaacha kuita ndoto za kweli na zenye maana. Kama una wazazi wailize watakufafanulia vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
aise kaka yani na mimi naotaka napaa kama wewe,yani mpaka nikaisi labda umeniandika mimi uzi huu.na hii ndoto inanitatiza sana
 
What Dreams About Flying Mean

Let’s talk about the positives in this dream first. If you have dreams about flying, you’re expressing a desire to be free, to be unencumbered, to find release from a situation. They represent your “rising above,” whether it’s a person, a situation, or a conflict. It might indicate that you’ve found a solution to a problem or a new perspective on how to handle things.

Flying gives you a sense of power and dreams about flying are indicative of that. It can mean that you’re about to get freedom from something. Perhaps your troubles, perhaps a bad relationship, perhaps a job or a life crisis. People also dream about flying when they discover and connect with their spiritual side and feel a release from the day-to-day of the world. Freud said that flying in your dream represented a release of sexual tension. If you’re suffering from depression or mental illness, a flying dream could potentially mean that the bad cloud is lifting.

Now for the bad. If you bump into things, you’re encountering obstacles you don’t know how to manage. And if you’re flying too high, above the mountains, above everything else, you may be too egotistical and need to bring it down a notch. If you’re unable to fly properly or keep losing control, it could signify a lack of confidence in your abilities or the inability to take bold decisions. Are you fearful of something in your life?

Are you deliberately trying to visit someone while you’re flying in your dream? Flying dreams fall into the category of lucid dreams, which are dreams that can sometimes be controlled by the person dreaming them. If you get flying dreams often, try envisioning where you’ll fly to in your dream and see if you can make that happen. That’s lucid dreaming.
 
una imani gani? Tafsiri yake ni kuwa utapitia mambo magumu sana yasiyowezekana kuyashinda katika hali ya kibinadam lakini Mungu muweza atakusaidia. Mfanye Mungu tumaini na kama huzingatii imani anza leo fasta. Ingekua unapaa afu unaanguka chini ningesema mengine lakin kama siku inaisha kwa furaha nakupongeza sn sn mkuu

mimi ni mkristo mkuu
 
Yatakuwa na Majini au Mizimu ya kwenu inakupenda sana ndio maana wanakutembeza sehemu tofauti tofauti.
NB: ukiendelea kusimulia kila mtu kama unavyofanya hapa jukwaani unaanza kuwa hukumbuki ulichoota na hatimaye utaacha kuita ndoto za kweli na zenye maana. Kama una wazazi wailize watakufafanulia vizuri sana.
Huwa siamini katika majini na mizimu mkuu, lakini suala la kuota ndoto za kweli huwa linanitokea. Kipindi hicho nipo form six niliwahi kuota mwalim wangu mmoja amekufa lakini kwa wakati huo mwalimu yule alikuwa mzima kabisa na haumwi lakini wiki moja badae yule walimu alikufa, mahali ambapo ninafanya kibarua sasa niliota ninafanya kazi hapa kipindi hicho kabla sijamaliza chuo, kuna kipindi niliota nipo nchi za magharibi miezi sita badae nikasafiri. Ni mengi sana mkuu, kuna kipindi naota nikiamka nakuwa nimesahau lakini siku kitu kimetokea kumbukumbuku zinakuja kuwa nilishawahi kuota kitu cha namna hii.
 
Mi hua naota naanguka toka juu ya ghorofa duuu sipend bora kuota unage..........
 
Back
Top Bottom