Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,333
Ndoto huwa zina source tatu;
1. Mungu kupitia Roho mtakatifu - Mf, Yusuph aliota asimuache Bikira Maria, Yusufu aliota kuambiwa akimbie nchi maana Farao alikuwa anataka kuua watoto, Yakobo aliota kuona mlango wa mbingu malaika wakipanda na kushuka, Yosefu aliota akiwa mdogo miganda ya ndugu zake ikimuinamia na alitafsiri ndoto ya mfalme, Mungu anaongea hadi sasa kupitia ndoto
2. Mwanadamu - Day to day activities
3. Shetani - Za vitisho
KUPAA ANGANI - Inaashiria kutawaliwa na wachawi, shambulizi la kiroho, yaani kwamba huenda ukachanganyikiwa.
Solution; Kana na kufuta kila aina ya matambiko ya kichawi na mahusiano yake ukiomba kwa zaburi 71.
Kama hujampokea Yesu omba sala hii;
Bwana Yesu nakuja mbele zako, mimi ni mwenye dhambi, ninakiri wewe ni mwana wa Mungu, ulikuja katika mwili na ukafa kwa ajili ya dhambi zangu. Nitakase na damu yako. Asante Yesu.
Amen.