SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,079
- 7,976
Sijachanjiwa mtu wangu, ndivyo ilivyo tangu najijua. Ni hivi wachawi siwezi wala sijawahi kuwaona isipokuwa naweza kuota kitu na kikawa kweli mfano mtu anafanya jambo baya juu yangu ambalo effect yake itakuwa ni kubwa basi huwa naweza kuliota miezi au siku kadhaa kabla.
Hii haina maana ni matukio yote maana kuna mengine sioti nashtukia tu
Kaa na wazazi au walezi wako uwaulize juu hayo mambo,naamini watakuelezea ukweli.