Utakuwa sasa unakaribia kuingia mwezini. Umeanza lini kupaa?
The meaning of flying in dreams is usually very positive. Most people experience the flying sensation as being pleasant. It is usually accompanied by a feeling elation and freedom. It can predict that you will be soaring to new heights in your life. Sometimes the meaning of flying in dreams is fear, especially if you have a fear of heights of falling. If you fall from a great height in a dream, it can symbolize enormous anxiety about the future or what you have. It would most certainly symbolize a fear of a fall from grace, but not necessarily predict one as not all dreams are prophetic in nature. |
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani? Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu.

KUPAA ANGANI -Inaashiria kutawaliwa na wachawi,shambulizi la kiroho,..............
Bujibuji siyo kale kam-mea kweli???​@director1 ukiona dalili za kupaa uni pm ndotoni ili tupae wote mwana, haiwezekani uhondo uufaidi peke yako
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani? Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu.
Ndugu yangu director1
Nakubaliana na Chimbuvu hapo kwenye RED, ndoto hizi huwa ni mapigano kati ya nafsi yako pamoja na uadui wa kishirikina. ujue unapata ndoto hiyo muda huo kuna wachawi wapo na wewe lakini nafsi yako inapambana nao na ndio maana unaona unapaa angani. hivyo eleewa kwa hapo wamekukosa. Lakini huwa hawachoki lazima watarudi tena kwani hawa viumbe hawakati tamaa.
Ongeza nguvu ya maombi kwa Imani yako na ndio inayokusaidia kuona mambo hayo na huenda ukizidisha Sala katika imani yako ipo siku utawaona LIVE hao watu na kuwafahamu endapo kama ni wa karibu na wewe au unawafahamu.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani? Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu.
mkuu punguza kuangalia sci-fi movies au series hutoota tena
sasa ukifika huko angani huwa unaona nini? embu dadavua kidogo
khaaaa jamani!!! namimi ninayeota napaa lakini shimoni yani kwa kwenda chini ila sifiki....hiyo nayo ni nini?!?!
Mmmhh kwenda chini, shimoni, alafu hufiki? Labda hufikishwi! Ngojea wataalamu watakushukia huko huko chini sasa hivi
mkuu naota nikiwa nimelala'na nimeiota mara nyingi