Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

Oct 13, 2015
16
18
Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma.

Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya moto.

Hii ndoto inajirudia kwa miaka mingi sasa
 
Kuna mwamba humu huwa anatafsiri ndoto vizuri tu ebu ngoja aje akufungulie codes za ndoto yako.
 
Ngoja nikusadie hapo kwenye kuendesha magari kwasababu Mimi mwenyewe miaka ya nyuma kama 10 imepita niliota Sana naendesha gari ilikuwa kilasiku lazima niote hivyo na kweli baadae nilimiliki gari..
Kuna ndugu yangu pia aliota Sana ndoto za kuendesha magari na kweli baadae alimiliki gari yake.wengi ambao wanaota ndoto za namna hii baadae wanapata kweli.

Huko kwenye NDEGE sijui maana yake
 
Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma.

Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya moto.

Hii ndoto inajirudia kwa miaka mingi sasa
Ukiota unaendesha gari lenye abiria, tafsiri yake ni uongozi, Mungu amekuweka ama atakufanya kuwa kiongozi katika eneo ulilopo au Mungu amekupa huduma ya kuwaingoza wengine, ukiota unaendesha gari lenye abiria halafu unakosea njia au umepatisha ajali ujue uongozi wako si mzuri unaumiza watu hivyo unapaswa kubadilika
 
Ndoto za safar ni ndoto zenye maana kubwa sana katika maisha yako kwa mtu aliye makini. Unaweza ukaota ndoto moja ikatasfr maisha yako yote mpaka unakufa.

Ukiota umeachwa na gai yaan ulkuwa stend alafa gar ikakuacha tafsiri yake ni ishara ya kukosa kazi au kuna jambo ulilotaka kulifanya basi ujue halitotimia. Ukiota umepanda gari iwe ya abiria au private na ukasafiri salama ni ishara ya ya kupata ulichokusudia na mambo yako yataenda sawiya.

Ukiota umeachwa na chombo chochota cha usafiri kwa kulala yaan ile mida imefika wewe umelala. Maana yake mafanikio yako yapo karibu ila huchangamki umebetekwa aidha kwa uvivu au kuna watu wanatembelea nyota yako. Ukiota umeachwa na usafiri ila kuna mtu kakuchelewesha aidha ki makusud bimaana muda wa kusafr anakupigisha stori ni ishara ya kuwa kuna mtu anakuchelewesha kwenye mafanikio yako yaweza ikawa mpenzi wako ndugu au jamaa zako.

Ukiota umeshapanda kwenye chombo cha usafri kisha ukashusha ikiwa sababu ni nauli bas ni ishara ya kuwa mbali na mungu. Ikiwa umeshusha kwa chuki na kwenye hilo gar wapo wachamungu viongozi wa dini ni ishara ya kuwa unaupenda na kuabudu sana uchawi na utakuchelewesha kwenye mambo yako.

Ukiota unaendesha gari ama pikipiki ni ishara ya mafanikio kupata ulichokusudia mipango yako kutimia. Ukiota upo safarkwa mguu kisha ukapewa lift ni ishara ya kusiadiwa utapata msaada lakini ni mara moja tu au upo shamba ghafla ukaona gar ni ishara pia kumaliza matatzo yako lakin pia kuna ishara ya msaada.

Ukiota unaendesha baiskeli ni ishara ya mafanikio yako yapo karibu lakini hakupasa utumie nguvu na uwe mvumilivu sababu baiskeli bila kunyonga kwa nguvu haiend. Ukiota umepandishwa kwenye baiskeli ni ishara ya shughuli unayoifanya au kazi itakucheleweshea mafanikio lakini utayapata ila kwa nguvu na uvumilivu.

Ukiota umepanda ndege ni ishara ya kuwa wewe ni mtu muhimu sana kwenye jamii yako na utakuwa juu kimafanikio. Ukiota upo ngani na usafiri usioeleweka aidha upo kwenye ungo au unasafiria kwa kuelea angani ni ishara ya kuchukulia kichawi kwenye safari zao.

Ukiota unaikimbiza gari ni ishara ya wewe kwamba una njama za kuzulumu siku za uson. Ukiota unakimbizwa na gari kwa speed kubwa na wewe unakimbia ishara ya mafanikio yako kuwa karibu lakini hujishughulish au pia kuna watu watakuwa wanakudhulumu ikiwa ni mchapa kazi.

Ukiota unasafirisha maiti na ukawapeleka sehem yenye mkusanyiko ni ishara ya kuuza kirahs unachouza au kupata kile ulichokusudia. Pia ukiota upo kwenye usafr na mpo na maiti ni ishara ya kuwa katika kazi au bishata zako kuna msaliti humo hayupo pamoja nawe.

Ukiota upo kwenye chombo chochote cha usafiri kisha ukapata ajali ni ishara ya kupata huzun na mawazo na kuna jambo litatokea kwako. Pia ukiota unawaona nduguzo wamepata ajali kuna huzun itatokea kwenye ukoo au familia yako. Pia ukiota upo kwenye chombo kibovubovu kikuukui yan chombo ambacho kina mashaka ya kusaifri ni ishara ya kuwa na haliduni katika maisha mambo yako kuzorota
 
Inategemea na muda unaoota na mmambo meng.usije ukasema ndoto ya saa tano usiku mpaka saa nane jizo mara nying ni ubongo unafanya recalling ya yale unayoyafikiria sana.ama kama unaoota kuanzia 03~04 muda ambao upo secondary stage of sleeping. Sasa weka katika maana ya jumla kuwa juu ya kipando.una dalil za kuongoza jambo
 
Asante mkuu hakika umenisaidia na kunifungua sanaa mana binafsi nilikuwa nawaza kuwa huenda nachukuliwa kichawi
 
Inategemea na muda unaoota na mmambo meng.usije ukasema ndoto ya saa tano usiku mpaka saa nane jizo mara nying ni ubongo unafanya recalling ya yale unayoyafikiria sana.ama kama unaoota kuanzia 03~04 muda ambao upo secondary stage of sleeping. Sasa weka katika maana ya jumla kuwa juu ya kipando.una dalil za kuongoza jambo
Nb: Kwanza sina uzoefu wa kuendesha hivo vyombo vya moto pia mara nyingi hizi ndoto napata kuanzia saa nane za usiku hadi saa kumi yan mara nyingi nikikurupuku kutoka kwenye hizo ndoto nikicheki saa lazma iwe saa kumi au saa tisa
 
Ukiota unaendesha gari lenye abiria, tafsiri yake ni uongozi, Mungu amekuweka ama atakufanya kuwa kiongozi katika eneo ulilopo au Mungu amekupa huduma ya kuwaingoza wengine, ukiota unaendesha gari lenye abiria halafu unakosea njia au umepatisha ajali ujue uongozi wako si mzuri unaumiza watu hivyo unapaswa kubadilika
Nimekuelewa mkuu
 
Ngoja nikusadie hapo kwenye kuendesha magari kwasababu Mimi mwenyewe miaka ya nyuma kama 10 imepita niliota Sana naendesha gari ilikuwa kilasiku lazima niote hivyo na kweli baadae nilimiliki gari..
Kuna ndugu yangu pia aliota Sana ndoto za kuendesha magari na kweli baadae alimiliki gari yake.wengi ambao wanaota ndoto za namna hii baadae wanapata kweli.

Huko kwenye NDEGE sijui maana yake
shukrani
 
Back
Top Bottom