Mnaotafuta wapenzi JF, kwanini mnakuja na ID mpya?

ukikua utaacha utawaza kikubwa ! kama ndo michezo yako endelea nayo halafu usinitaje kwenye post zako za kitoto next time bye
nani kakutaja sasa,halafu mbona unapanic hivi unajua mtu anapelelezwa vipi hadi ukweli unajulikana
 
Wengine wanaona aibu kuandika kupitia ID ya zamani kwa heshima na comments za ufasaha. Yani ID moja unaigiza upo high class na una familia na ndoa, ID nyengine unatafuta mpenzi upo single.

Madem wa jamii forum wana maumbo mazuri a.k.a chura japo sura za wastan lakini wanajitambua
 
hizo sura za wastani ndo zikoje mkuu
 
Kwani ni wote wana ID tatu tatu? kwa mfano mie ni hii tu sasa kwa hiyo formula si nitapata jibu ambalo sio sahihi?
*kuna ambao wamepigwa BAN
*kuna ambao wenye ID nyingi 2-5
*kuna ambao wameacha kutumia Jf
*Kuna ambao wamefariki
*Kuna ambao pasword wamezisahau
*Kuna ambao wamebadili ID kutaka jina jipya zuri.
--- niende mkuu
 
mkuu total member ni laki 3 hebu tuchambue isijekuwa tupo active 80 elfu tu maana wanaochat humu ni walewale
 
Back
Top Bottom