Mnaotafuta wapenzi JF, kwanini mnakuja na ID mpya?

uzuri wake ukija na id mpya tabia haibadiliki mie nishamjua mbona
utoto unawasumbua nyie .hyo id mpya naitumia muda gani wakati muda wote nipo humu.halafu sina maisha ya kishamba hivo kwamba jf kwangu ni lazima hadi niwe na id kibao .siana id ingine humu wala siitaji labda nijitoe tu nina maisha mengine kabisa .mimi sio mtoto huo upuuzi watafanya watoto kama nyie
 
tatzo swagga haibadiliki iko vilevile ndio maana kutambulika ni simple sana
 
Back
Top Bottom