Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto.

Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe na kiduka chake .

Sasa kama mjuavyo, sisi wanaume hatupendi kushea, Jose anahisi Aisha ana boyfriend, Jose hajaridhika hata anavyopostiwa kwenye status maana anajua kuna kamchezo ka kuficha majina kwenye status.

Jose anamwambia Aisha amweke kwenye profile picture ionekane na namba zote na atahakikisha kwa kutumia namba nyingine kuicheki profile picture, Na muda huo huo Aisha hawezi kumficha Ally asiione profile picture maana nae Ally atahisi kafichwa maksudi kuna picha Aisha hataki aione. Mtihani huu!!

Aisha anaenda group la mashosti zake anaomba ushauri, Rafiki yake Fatuma anampa ujanja ambao unaenda kuua ndege wawili kwa jiwe moja.

Aisha anaweka status ya picha ya Jose na caption anaandika "Pumzika kwa amani mdogo wangu/ kaka yangu / binam / ndugu, mjomba, n.k" Hio status Jose anafichwa ila Ally ataiona, Ally anaingia huruma anambembeleza Aisha kwa kumpa pole na kumfariji.

Kitu kimetiki hapo, hio ndio tiketi ya kumweka Jose kwenye profile picture, ataweka maneno yoyote tu ya kuwachanganya akili Jose ahisi anapendwa na Ally ahisi Aisha yupo kwenye maumivu.

Hio picha inaweza kukaa hata wiki na Aisha akasingizia anaeda msibane huku Ally akirmruhusu kiroho safi kabisa, WEEE!! kuna msiba basi? Ndio kwanza Jose kalipukwa na furaha kama chizi na anahisi Aisha kaacha mambo yake muhimu ama katoroka kwao wiki nzima kwajili yake. Jose anapagawa kiasi hata cha kumpeleka shopping ya maana na simu kali kwa juu anajiona ana nyota tano za kuwa Playboy kumbe Holaaa!

Muda wote Aisha yupo na Jose kama ana danga kwa akili anawea kuchomoka na milioni 2 apanue biashara yake ndogo ama ampe Ally wake wanunue kiwanja,,,
 
Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto.

Wa pili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe na kiduka chake .

Sasa kama mjuavyo, sisi wanaume hatupendi kushea, Jose anahisi Aisha ana boyfriend, Jose hajaridhika hata anavyopostiwa kwenye status maana anajua kuna kamchezo ka kuficha majina kwenye status.

Jose anamwambia Aisha amweke kwenye profile picture ionekane na namba zote na atahakikisha kwa kutumia namba nyingine kuicheki profile picture, Na muda huo huo Aisha hawezi kumficha Ally asiione profile picture maana nae Ally atahisi kafichwa maksudi kuna picha Aisha hataki aione. Mtihani huu!!

Aisha anaenda group la mashosti zake anaomba ushauri , Rafiki yake Fatuma anampa ujanja ambao unaenda kuua ndege wawili kwa jiwe moja.

Aisha anaweka status ya picha ya Jose na caption anaandika "Pumzika kwa amani mdogo wangu / kaka yangu / binam / ndugu, mjomba, n.k" Hio status Jose anafichwa ila Ally ataiona, Ally anaingia huruma anambembeleza Aisha kwa kumpa pole na kumfariji.

Kitu kimetiki hapo, hio ndio tiketi ya kumweka Jose kwenye profile picture, ataweka maneno yoyote tu ya kuwachanganya akili Jose ahisi anapendwa na Ally ahisi Aisha yupo kwenye maumivu.

Hio picha inaweza kukaa hata wiki na Aisha akasingizia anaeda msibane huku Ally akirmruhusu kiroho safi kabisa, WEEE!! kuna msiba basi ?? Ndio kwanza Jose kalipukwa na furaha kama chizi na anahisi Aisha kaacha mambo yake muhimu ama katoroka kwao wiki nzima kwajili yake. Jose anapagawa kiasi hata cha kumpeleka shopping ya maana na simu kali kwa juu anajiona ana nyota tano za kuwa Playboy kumbe Holaaa!

Muda wote Aisha yupo na Jose kama ana danga kwa akili anawea kuchomoka na milioni 2 apanue biashara yake ndogo ama ampe Ally wake wanunue kiwanja,,,
Ally tena
 
Back
Top Bottom