Mnaotafuta wapenzi JF, kwanini mnakuja na ID mpya?

Wengine wanaona aibu kuandika kupitia ID ya zamani kwa heshima na comments za ufasaha. Yani ID moja unaigiza upo high class na una familia na ndoa, ID nyengine unatafuta mpenzi upo single.

Madem wa jamii forum wana maumbo mazuri a.k.a chura japo sura za wastan lakini wanajitambua

Una utaalamu nao mkuu. Mpaka unajua chura na sura zao
 
Mimi ninachowaza je? baada ya kupeana mawasiliano siku ya kuonana, unakutana na mwanaume ana sura mbovu au unakutana na mwanamke ni mbayaaa na hapo mlisharidhiana mpaka kuitana babe sijui nini hivi mnafanyaje? Unamkimbia hurudi tena au? mana katika mapenzi na Mvuto unachangia kidogo japo usiwe na mvuto sana lakini uvumilike au mwanaume anakuja anaongea kama kameza cassette aaaaaagh
 
a
hivi unajua kuwa kuna madume wanatumia id za kike na maarufu humu kuna muda unachati nao sana ukijua wanawake wenzio kumbe mapunga
haha hata mimi ni mwanaume nlikushangaa unataka PM iweje? ahahah (ndo muache kuPM watu ovyo.)
 
Mimi ninachowaza je? baada ya kupeana mawasiliano siku ya kuonana, unakutana na mwanaume ana sura mbovu au unakutana na mwanamke ni mbayaaa na hapo mlisharidhiana mpaka kuitana babe sijui nini hivi mnafanyaje? Unamkimbia hurudi tena au? mana katika mapenzi na Mvuto unachangia kidogo japo usiwe na mvuto sana lakini uvumilike au mwanaume anakuja anaongea kama kameza cassette aaaaaagh
aisee hakuna mwanamke mbaya dunia hii,kuonana na mtu hakuna shida na wala siyompaka muwe wapenzi mbna mie nafahamiana na wengi tu hapa
 
aisee hakuna mwanamke mbaya dunia hii,kuonana na mtu hakuna shida na wala siyompaka muwe wapenzi mbna mie nafahamiana na wengi tu hapa
wewe unafahamiana naao kama marafiki wa kawaida, nazungumzia wale wenye lengo la kuwa wapenzi, Anaweza asiwe mbaya ila akawa si type ya wanawake unaowapenda, pengine anavuta sigara, wewe hupendi sigara, au amejichubua na wewe hupendi hao pengine mnene kupindukia..Tuwe wa kweli katika hili wapo Wanaume wa Wabaya na Wanawake Wabaya (Au kuzidiana yani niseme hawan Mvuto)
 
nani kakutaja sasa,halafu mbona unapanic hivi unajua mtu anapelelezwa vipi hadi ukweli unajulikana
nami najarib kufikiria....ivi huyo ni mwanamke kweli? naona povu limemjaa diaba, miss natafuta, njoo ujibu hizi tuhuma
 
Kwani ni wote wana ID tatu tatu? kwa mfano mie ni hii tu sasa kwa hiyo formula si nitapata jibu ambalo sio sahihi?
hapo ndo swala la wastan linapokuja kutumiaka.

mfano, chukulia watu kumi, kila mmoja wao awe ana id3, ww uwe wa kumi na moja(mwenye id1), ukitafta wastan, ww utamezwa mlemle kwa hao wengi. umeelewa???

wewe unafahamiana naao kama marafiki wa kawaida, nazungumzia wale wenye lengo la kuwa wapenzi, Anaweza asiwe mbaya ila akawa si type ya wanawake unaowapenda, pengine anavuta sigara, wewe hupendi sigara, au amejichubua na wewe hupendi hao pengine mnene kupindukia..Tuwe wa kweli katika hili wapo Wanaume wa Wabaya na Wanawake Wabaya (Au kuzidiana yani niseme hawan Mvuto)
my huu utandawazi picha kwanza ili tuthaminishane mapemaa kama mie mdada aliyejichubua huwa hanivutii kabisaa kuwa mtu wangu
 
Teh teh, umenikumbusha ya Brigedia mafia na Hance mtanashati,

I was like Whaaaaaat!!
 
Back
Top Bottom