Mnaotafuta wapenzi JF, kwanini mnakuja na ID mpya?

ukumbuke wanawake wa mtaani,sokoni,ofisini,kanisani,msikitini,vyuoni,mashuleni ndio hawa wanaotumia jamiiforums
Humu wapo watu wa mataifa mbali mbali na tamaduni tofauti tofauti, au wa humu wote ni wa mazingira yako uliyopo?

Na hata kama mtu anatabia chafu utajuaje kwa kumpatia humu?
 
Humu wapo watu wa mataifa mbali mbali na tamaduni tofauti tofauti, au wa humu wote ni wa mazingira yako uliyopo?

Na hata kama mtu anatabia chafu utajuaje kwa kumpatia humu?
hata aliyeko nje ya jamiiforums huwezi ukamjua tabia yake mpaka utakapoishi naye
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom