Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Kwa mfano binafsi sina hata follower mmoja hapa jamiiforums kama ilivyo kwa wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu Dabil na Charles kilian ila nimetoka kufunya Uchunguzi wangu wa kimya kimya na kugundua members Kama Mshana Jr na yule Genta ( GENTAMYCINE ) na wengineo baadhi wana utajiri mkubwa wa followers hapa

Je, kunamaanisha nini members kadhaa kuwa na followers wengi tofauti na wengine hapa jamiiforums wakati kama ni kuwepo kuchangia mada mbalimbali kila siku huwa tunakuwa wote?

Na je, ni kwanini kwa mfano mimi Cognizant na wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu akina Dabil na Charles kilian dhidi ya member kama GENTAMYCINE hatuna hata follower mmoja tu? tunafeli wapi labda?

Binafsi nikiona sipati follower hata mmoja tu hapa jamiiforums sitoona aibu kumuomba mmoja wa members wenye followers wengi GENTAMYCINE anipunguzie hata mmoja tu kwani ni aibu kubwa kutwa mimi na wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu akina Dabil na @,Charles kilian tunamfanyia kila aina ya visa jamaa ( genta ) huku hadi tukimuombea ban kwa moderators huku tukitumia muda wetu mwingi kumshambulia au kubishana nae ili nasi ids zetu zijulikane na ziwe maarufu kama yeye lakini ndiyo kwanza hatujulikani, hatupati umaarufu wowote na hatuna hata follower mmoja wa Kuzugia tu

Kama hamtojali nitapendelea kila atakayeuchangia huu uzi wangu mwishoni atuambie ana followers wangapi hapa jamiiforums ili basi kama kuna wengine wanao wengi watupunguzie na sisi akina Cognizant wenye wivu, chuki na roho mbaya kwa members maarufu na wenye mvuto wao wa kipekee wa kiuwasilishaji hapa jamiiforums mfano wa akina Mshana Jr na GENTAMYCINE
 
Niambiwe nitaje watu 50 jamii forum niwataje haraka haraka

Genta hatokaa atajwe😄😄😄

Haitokaa itokee
Labda wenzangu wanaokuja lakini sidhani

Ila watu 50 wakiitwa wataje ID maarufu mshana inaweza tokea mara 40+

😁😁😁genta tulia umaarufu haufosiwi
 
Wakiitwa watu kumi jamii forum niwataje haraka haraka


Genta hatokaa atajwe
Haitokaa itokee
Labda wenzangu wanaokuja lakini sidhani

Ila watu 50 wakiitwa watane ID maarufu mshana inaweza tokea mara 40+

😁😁😁genta tulia umaarufu haufosiwi
mwenzetu una followers wangapi jf?
 
Niambiwe nitaje watu 50 jamii forum niwataje haraka haraka

Genta hatokaa atajwe😄😄😄

Haitokaa itokee
Labda wenzangu wanaokuja lakini sidhani

Ila watu 50 wakiitwa wataje ID maarufu mshana inaweza tokea mara 40+

😁😁😁genta tulia umaarufu haufosiwi
Nacopy na kupaste hii comment yako. Nakuunga mkono. Sina cha kuongea kingine
 
Sina shida ya followers mtandao wa fake ID

Jamii forums' whole point was this
Equal ground for all

Niwaze followers jamii forum tena😃😃

Niqqa please sio kwa ubaya.... boss get a life
na kwa aina hii ya majibu yako ya kiuwendawazimu na makasiriko ungekuwa na hata follower mmoja ningeshangaa na kuona wote wewe na yeye follower wako mna matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom