hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,455
- 6,329
Kuna mtu yoyote amefanikiwa kutoa ela Jana Kwa betwiner?
D0FA4642 editedDubwana hilo odds 32,838
D194B8
1FCBF01 editedOdds 2700 hixo sportybet jf nuksi sana tukipost tunapigwa
BB6E6A
Wanajua upo kwenye group, au upo kwenye group wanalopost win tickets tuHawa jamaa wanajua aisee.
Una cashout au unaendelea kukaza fuvu?Oyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
Hata hiyo 200 ataikosa ni swala la muda tuUna cashout au unaendelea kukaza fuvu?
Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200
Laki sita ni kubwa Sana...afu why hujashare huo mkeka huo ni uchoyo afu unatuambia...kingine ushauri toa hio laki sita unapata faida kutoka 30k parefu Sana hapo ikitokea tu bila bila moja na goal kukataliwa var utaanza kulia...million 27 hushindiOyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
team nilizoweka ni za uhakika sizan kama asenal mancher city liverpol watashindwa kunitolea hata goli moja hapa nakomaa nao ndio mana anasema weka kiasi unachoweza poteza mi k30 cashout ya laki 6 ikifika kwenye k30 yangu naitoa nitakuwa sijapoteza kituUna cashout au unaendelea kukaza fuvu?
Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200