_20240119_221055.JPG
 
Utaratibu wa kuandikiwa refund katika mkeka.. sportybet ikishinda mechi zote mechi 2 zikiwa zimeandikwa refund .. inakuaje.?
Kama mechi zingine zimetoa utapewa hela yako ila odds za izo mechi mbili zitaondolewa kwa maana iyo utapata hela pungufu na ambayo ungeipata kama izo game mbili zisingekua postponed na zingetoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom