8556C7B4 CODE SportyMechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.
Epl:
-Liverpool vs Bournemouth: both teams to score/GG - yes,
Bundesliga:
-RB 0Leipzig vs Bayer Leverkusen: both teams to score/ GG - yes,
-Bayern Munich vs Werder Bremen: over 2.5 goals,
-VFL Bochum vs VfB Stutgart: over 1.5 goals,
La Liga:
-Girona vs Sevilla: double chance (DC) - Girona win or draw (1X),
-Real Madrid vs UD Almeria: Real Madrid win,
-Valencia CF vs Athletic Bilbao: both teams to score/GG - yes,
-Real Betis Seville vs FC Barcelona: both teams to score/GG - yes,
Eredivisie:
-FC Ulrecht vs PSV: FT over 2 5 goals,
-Ajax vd RKC Waalwajk: FT over 2.5 goals,
Liga Portugal:
-FC Porto vs Moreirense FC: over 2.5 goals.
Kaka naielewa Sana Mitsubishi Outlander PHEVCCE2A9D sportybet
Huu mkeka ni
Dotto Magari aandae Mitsubishi outlander au Mazda CX 5
This year
5F475DF edited yake
Hujaona hii!!! Mara nyingi tu nashare upendo. Labda uwe hujataka ziona hizi.ndicho unachoweza tu humu
Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.Oya tupieni code basi mazee
DaahLeo nimetoa direct win Kwa Sunderland
Nimeweka kibunda Cha maana kwelikweli
Mbona unapenda kunichekea chekea kwenye post zangu mkuu!?...Kila la heri maafisa, kila mtu aweke kwenye kampuni yake kupata codes husika.
Huu mkeka nimeusuka kwa kutumia uwezo, nguvu na ujuzi wangu wote.
Kuna phase ya betting unakuwa unapata kitete wakati wa kusuka mkeka hususani ukiwa na dau kubwa. Wakati ukiwa na dau dogo au ukiwa huna nia ya kucheza unasuka mkeka safi sana.Daah
Wewe ndugu nishakuzoea maneno yako makali, leo umeniamkia tena. Sijui ni hasira za mikeka ya jana kuchana ama laa.Mbona unapenda kunichekea chekea kwenye post zangu mkuu!?...
Funguka! Ama unaitaka Ile Ile kitu isiyo na mabega!...nikupee!?
Sipendi shobo! Acha supu yangu iteremke vizuri usiniharibie siku!... Huwa Nina hasira za karibu!
Natamani hata hii Jf ifunguke ndani tuonane uso kwa uso. .. ili tuumane vizuri!!!
Wikendi hii cheza hii code ule pesa, hizo ngumu kumeza zako zinachana sana. Punguza makasiriko.Mbona unapenda kunichekea chekea kwenye post zangu mkuu!?...
Funguka! Ama unaitaka Ile Ile kitu isiyo na mabega!...nikupee!?
Sipendi shobo! Acha supu yangu iteremke vizuri usiniharibie siku!... Huwa Nina hasira za karibu!
Natamani hata hii Jf ifunguke ndani tuonane uso kwa uso. .. ili tuumane vizuri!!!
Hiyo mechi ya swansea ireview tena, likely itakuchania hii code.
Kwa hii no comment, hizi timu zote sizijui kabisa.
Hiyo mechi ya southermpton ni nadra kuwa na hayo matokeo uliyoweka. Irekebishe.
Revise tena ya Porto, ipo over 1.5 goals, na siyo over 2.5 goals kama ilivyokuwa na typing error mwanzoni.8556C7B4 CODE Sporty