rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,514
- 41,968
Yani weekend iliyipita nilijaribu Option ya kadi na konaa.. Nikakuta direct win zimetosa kishenzi ukiweka timu chache imooo..! Sometimes bonyeza direct win tuliaa tu kama ipo ipo.Unaruka ruka na ma options ya kingese alafu unapoteza na majibu ya mtihani Jana yalikuwa rahisi na odds mlima!!
Betting konyo