Unaruka ruka na ma options ya kingese alafu unapoteza na majibu ya mtihani Jana yalikuwa rahisi na odds mlima!!

Betting konyo
Yani weekend iliyipita nilijaribu Option ya kadi na konaa.. Nikakuta direct win zimetosa kishenzi ukiweka timu chache imooo..! Sometimes bonyeza direct win tuliaa tu kama ipo ipo.
 
Hili ni tatizo kwa hawa mawakala wa simu kulipia kwenye kampuni husika!!

1xbet waliweka ila malalamiko ya hawa pesa kutofika sehemu husika imewalazimu 1Xbet kuwaondoa tena,,,,

Cjajua hawa duka direct wanafeli wapi ilihali miamala ni mingi kwenye mizunguko ya betting n pesa iko huko
Hauna namba yao hao selcom niwavute hewani aisee?
Na nimeona kweli 1XBET wameondoa ule mfumo wa mobile payment tena.
 
Unajua nimewapigia vodacom waniambia pesa wao wameshafikisha selcom na niwasiliane nao, sasa kupata namba ya hao selcom ndiyo tabu nyingine ila naamini humu humu nitapata msaada ngoja wadau waamke
Ingia kwny email tittle ya email iwe deposit not received unataja namba ya account yko, tarehe ya muamala na kiasi na attach screen shot ya huo mwanala kwny email yao ya processing@888starz.bet
 
Hivi mechi zikiwa postponed c zinatakiwa kutolewa kwenye mkeka na ulipwe odds zilizo baki? Mbona Hawa betway wamejikausha toka jana...
Wako ndani ya muda maana ni masaa 78 , makadirio ya siku tatu hii ikiwa na maana huwenda mechi ikachezwa ,,, ila walipata taarifa sahihi ya kutokuwepo kwa mchezo husika ndani ya kipindi hiko basi malipo hufanyika fasta,,,,, kuna muda haivuki hata masaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom