Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,031
- 4,238
Man city fanya kweli basi nile hii hela……
hongera mkuu! leo kanji kapigika imekua cku nzuri sana kwa watafutajiSafi city, kahela ka mboga kamepatikana
Dah ,ningeweka 10000 Kama wewe ,ungekuta Nina milioni 5 zangu mfukoni,nikiweka Ela kubwa sili,nikiweka kiela Cha mbuzi nakula,kamari usenge sana
Kabisa mkuu✊✊hongera mkuu! leo kanji kapigika imekua cku nzuri sana kwa watafutaji
Kwa hasira hii yote naiwekea mkeka mmoja kesho,nitamdaka tu uyu kanjiDah ,ningeweka 10000 Kama wewe ,ungekuta Nina milioni 5 zangu mfukoni,nikiweka Ela kubwa sili,nikiweka kiela Cha mbuzi nakula,kamari usenge sana
Odd 545
Kuna kashilingi 50 kalibaki Jana,nikatupia View attachment 2855113
Watumie email jamaaaNani anatumia bet ya kampuni ya 888star anisaidie jama?
Kuna hii pesa tangu jana nimedepost mpaka sasa empty account
ALR2BQ19DFW Imethibitishwa. Tsh5,500.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 80076664-9459953355 tarehe 27/12/23 saa 12:44 PM Ada Jumla Tsh500.00 (M-Pesa Ada Tsh500.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh280.65.
Chance never come twice!!!Dah ,ningeweka 10000 Kama wewe ,ungekuta Nina milioni 5 zangu mfukoni,nikiweka Ela kubwa sili,nikiweka kiela Cha mbuzi nakula,kamari usenge sana
Odd 545
Kuna kashilingi 50 kalibaki Jana,nikatupia View attachment 2855113
Hili ni tatizo kwa hawa mawakala wa simu kulipia kwenye kampuni husika!!Nani anatumia bet ya kampuni ya 888star anisaidie jama?
Kuna hii pesa tangu jana nimedepost mpaka sasa empty account
ALR2BQ19DFW Imethibitishwa. Tsh5,500.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 80076664-9459953355 tarehe 27/12/23 saa 12:44 PM Ada Jumla Tsh500.00 (M-Pesa Ada Tsh500.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh280.65.
Kabisa yaani...Unaruka ruka na ma options ya kingese alafu unapoteza na majibu ya mtihani Jana yalikuwa rahisi na odds mlima!!
Betting konyo
Yani weekend iliyipita nilijaribu Option ya kadi na konaa.. Nikakuta direct win zimetosa kishenzi ukiweka timu chache imooo..! Sometimes bonyeza direct win tuliaa tu kama ipo ipo.Unaruka ruka na ma options ya kingese alafu unapoteza na majibu ya mtihani Jana yalikuwa rahisi na odds mlima!!
Betting konyo
Hauna namba yao hao selcom niwavute hewani aisee?Hili ni tatizo kwa hawa mawakala wa simu kulipia kwenye kampuni husika!!
1xbet waliweka ila malalamiko ya hawa pesa kutofika sehemu husika imewalazimu 1Xbet kuwaondoa tena,,,,
Cjajua hawa duka direct wanafeli wapi ilihali miamala ni mingi kwenye mizunguko ya betting n pesa iko huko
Niwa tumie email hawa 888star siyo?Watumie email jamaaa