Project Bombay 01: Day 10 Updates

Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.

Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917

Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
 
Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
 
Mikeka bhana sometimes jau Yan Jana Man u kanikosesha pesa ya supu ety baada ya kumtandika Chelsea nkaamua kumpa DC kwa Bournemouth 1x na akaamua kuzingua peke ake nkajarbu na leo Celtic pia akakataa mazoea lakin cha ajabu toka jana pamoja na timbwili zote bado nna tren la match 50 ambalo bado lnasurvive na nlishare na wana humu japo siamni kama kuna aliefata mpaka sasa limeshatoa game 30 Kat ya 50 View attachment 2838918View attachment 2838919
Ulituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?
 
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
Yeah, tunajaribu kupambana na kanji kwa kila namna. Watu tunaliwa pesa kila siku na kanjibai ila siku tukiotea tunafurahi bila kujua ni kiasi gani tumepoteza. Kwa kutumia njia hii ni rahisi kujua ni kiasi gani umepoteza na kiasi gani umepata.

Pia ni rahisi kufanya analysis kujua unakosea wapi au uboreshe wapi. Kama ukiangalia hiyo sheet kuna sehemu nimeweka shading nyekundu. Hiyo siku nilipata hasara kubwa kutokana na njia niliyokuwa naitumia mwanzo hivyo nikaamua kubadilisha approach na naona imenza kunilipa.

Yote kwa yote, ninajaribu na December 31 ndo itakuja na majibu sahihi.
 
Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
Hiyo pesa hesabu maumivu......
selcom duka hawana customer care
 
LOST
 
Attachments

  • IMG_20231210_211312.jpg
    IMG_20231210_211312.jpg
    85.9 KB · Views: 3
Uzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.

Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k

Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.
 
Hii nimeweka nikiwa chooni uchi wa mnyama hapa kanji Lazima apasuke 😂 nimeweka ka buku tano tu japo naogopa ila hata nikimpa Barca ashinde anaweza asishinde tu betting ni ngumu jamani 🙌 leo na jana nimepigwa kisawasawa! Jeshi langu Girona akianza na moto wa kasi kama wa jana wa Frankfurt huyu Barca mtamskia kwenye habari kesho 💪
Screenshot_20231210-222006~2.png
 
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.

Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k

Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.
Sportybet Wana interface SIMPLE and clear, haichoshi na ipo too direct and visibility yake ni nzuri....SHIDA YA SPORTYBET NI KUFUNGA GAMES UNAPO WISH KU CASH OUT.....NA PIA TIMU IKISHINDA HUCHELEWA KU UPDATE KWENYE MKEKA.
 
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.

Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k

Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.

Nadhan mm najiona ndo nilikua naipenda BETPAWA kupitiliza top 5 nilikuemo ila sasa na miezi ka miwili naisikia kwenu tu sitaki tena
Nipo zangu Sportybet na Pmbet
 
Back
Top Bottom