rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,705
- 42,610
Kwisha habari yakee...!!New casto ana wakati mgumu sana
Kwisha habari yakee...!!New casto ana wakati mgumu sana
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.Project Bombay 01: Day 10 Updates
Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.
Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917
Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Kama invigilator au sio...sema jamaa hata Jana hajaponaSafi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
Ulituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?Mikeka bhana sometimes jau Yan Jana Man u kanikosesha pesa ya supu ety baada ya kumtandika Chelsea nkaamua kumpa DC kwa Bournemouth 1x na akaamua kuzingua peke ake nkajarbu na leo Celtic pia akakataa mazoea lakin cha ajabu toka jana pamoja na timbwili zote bado nna tren la match 50 ambalo bado lnasurvive na nlishare na wana humu japo siamni kama kuna aliefata mpaka sasa limeshatoa game 30 Kat ya 50 View attachment 2838918View attachment 2838919
Mainz na koln nawadai goli moja tu, nikalale usingizi mwororo, laa sivyo gonjwa la moyo lazima linikumbe saa tatu hii
Yeah, tunajaribu kupambana na kanji kwa kila namna. Watu tunaliwa pesa kila siku na kanjibai ila siku tukiotea tunafurahi bila kujua ni kiasi gani tumepoteza. Kwa kutumia njia hii ni rahisi kujua ni kiasi gani umepoteza na kiasi gani umepata.Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
Shukran imetoa tuko pamojaProject Bombay 01: Day 10 Updates
Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.
Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917
Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Hiyo pesa hesabu maumivu......Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
mfano betpawa walikuwa na kila mechi inaBonus kama zipi unazouliza?
Kama una laki mpe Liverpool ana point saba saizi, niamni mm come back Kwa dk zilizobaki ipo na zaidi ya goli mbili
Ilikuwa sportpesa kakaUlituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.Uzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia
Jaribu kupiga 0800714888Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
Sportybet Wana interface SIMPLE and clear, haichoshi na ipo too direct and visibility yake ni nzuri....SHIDA YA SPORTYBET NI KUFUNGA GAMES UNAPO WISH KU CASH OUT.....NA PIA TIMU IKISHINDA HUCHELEWA KU UPDATE KWENYE MKEKA.Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.
Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k
Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.
Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k
Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.