Huu mkeka wa wanaija ukitiki ntajutia sana maana nilistake sh 600 tu, team 3 tayari bado izo tatu tu kanji atoe mlio
 

Attachments

  • Screenshot_20230625_223722.jpg
    Screenshot_20230625_223722.jpg
    182.3 KB · Views: 9
9678E76....Chupa linaamka na Chai! Au sio!?..... wake-up and booom💥
 

Attachments

  • StitchIt_20232506113025_628.png
    StitchIt_20232506113025_628.png
    17.1 KB · Views: 9
Mimi nalala ila nawashauri tu msidharau code wala kukata tamaa.

Imagine ningeweka 10k kwenye huu mkeka kesho ningeamka na zaidi ya millioni 10
 

Attachments

  • Screenshot_20230626_002411.jpg
    Screenshot_20230626_002411.jpg
    178.6 KB · Views: 8
THE PROMISE

DAY 7
6F6576A
Odds 3.8 weekend package
Ikiwa tutaangukia pua leo hile safari ya 28 days itakua mwisho.hila tukishinda nakomaa kama wagner pmc


InGodWeTrust


Sent from my Mi 9 SE using JamiiForums mobile app
Balance#24,511
Stake#10,000
##@ 24,511-10,000
Odds 3.8 :status WON
10,000×3.8=baada ya makato 36,465
### 36465+14511

New balance#. 51,246

Asanteni

Sent from my Mi 9 SE using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom