MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,625
- 6,313
Eeeeh!!? Ati ninii!?....Kweli Betting haina cha stake nene, wala stake bamia!....Namna gani apa
Mimi nalala ila nawashauri tu msidharau code wala kukata tamaa.
Imagine ningeweka 10k kwenye huu mkeka kesho ningeamka na zaidi ya millioni 10
Balance#24,511THE PROMISE
DAY 7
6F6576A
Odds 3.8 weekend package
Ikiwa tutaangukia pua leo hile safari ya 28 days itakua mwisho.hila tukishinda nakomaa kama wagner pmc
InGodWeTrust
Sent from my Mi 9 SE using JamiiForums mobile app
Babu ungepata kibunda cha maana sana
Uoga wa kutupia mzigo Babu, yaani dahBabu ungepata kibunda cha maana sana