Lolote linaweza tokea na risktaker huwa hupongezwa baada ya ushindi na hutukanwa baada ya matokeo mabaya
Huyo ataliwa kiboya pesa kama hiyo unatakiwa kubetia live .....anatakiwa kuacha mechi ianze hadi dakika ya 20 hivi ndiyo atoe maamuzi ya kufyatua huo mzigo maana kwa dk 15 hadi 20 inatosha kujiakikishia nini kitatokea .....vinginevyo anaweza kujutia maamuzi yake kabla hata timu azija fungana .....ninasema hivi kwa sababu ya uzoefu wangu wa kubeti timu chache ....hapo ndipo ilipo siri ya kwanini wengine tuna penda live beti
 
UTALIWA uchanganyikiwe ukatamani kujiuza bure

UTALIWA uchanganyikiwe ukatamani kujiuza
Ushauri wa bure ....hata siku moja usitie mzigo mkubwa namna hiyo kabla ya mechi kuanza ....unachotakiwa kufanya ni kukaa karibu kusuburi mechi ianze na kusoma mchezo kwa dakika 15 hadi 20 za mwanzo ndiyo utoe maamuzi ya kuweka huo mzigo au la .....vinginevyo unaweka mzigo mechi ikifika dakika ya 30 tu hata timu azija fungana una anza kujuta baada ya kuona uwanja umeegemea upande loss ...mfano kwenye hiyo mechi mgeni kapewa odds4 ila mechi ikianza unakuta ball possession ya mgeni ni 70% yanga 30% na mechi bado 0-0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom