Kila siku huwa napitia humu ndani,lakin sijaona soucre ya kuaminika ya mtu anaeuza odds za ukweli

Natafuta odds niwe nanunua, maana nakuwa bize sana kiasi nashindwa kusuka mwenyewe mkeka wangu

Si lazima awe mtu, hata kama kuna apps mnaifahamu ya kueleweka basi mniambie

Natumia betpawa

Natanguliza shukrani
Hakuna odds za uhakika utaishia kutapeliwa tu mkuu,kupata odds za uhakika labda uende dark web ambapo napo sio ligi zote,ligi za South America sana ndio huwa matokeo yanapangwa ambapo nazo kuzipata sio rahisi mpaka uwe na connection na wanaijeria
 
Screenshot_20221020-232445_Chrome.jpg
Betpawa leo sijui wamejichanganya wapi maana hiyo mechi namba moja Wiener sk ambayo ina rekodi na mwendelezo mzuri kapewa odds 21,mimi nkaishi nazo nimeshapata hela ya mafuta ya weekend hii
 
mkeka wa lsfootball umechana dakika ya mwisho kabisa ya 90, mechi ya Zulte Waregem vs Anderlecht yenye tip ya draw or away mpaka dakika ya 90 matokeo ni 2-2, dakika hiyohiyo ya 90 home anapata goli matokeo yanakuwa 3-2 na mkeka unachanika
Mamaae dkk ziliongezwa 10
 
Hakuna odds za uhakika utaishia kutapeliwa tu mkuu,kupata odds za uhakika labda uende dark web ambapo napo sio ligi zote,ligi za South America sana ndio huwa matokeo yanapangwa ambapo nazo kuzipata sio rahisi mpaka uwe na connection na wanaijeria
Nielekeze mkuu namna gani ya kufika huko nataka niwe naishi nazo
 
mkeka wa lsfootball umechana dakika ya mwisho kabisa ya 90, mechi ya Zulte Waregem vs Anderlecht yenye tip ya draw or away mpaka dakika ya 90 matokeo ni 2-2, dakika hiyohiyo ya 90 home anapata goli matokeo yanakuwa 3-2 na mkeka unachanika
Hio Anderlecht ishanichania San Leo nilivoiina nkaitoa mapema kbsa.hawan maan hao
 
Mamaae dkk ziliongezwa 10
dakika 10 zote hizo?, waliamua kutukomoa.

huu mkeka wa lsfootball nilijiwekea bima ya onecut sportybet, nikajua hata ikichana mechi moja bado nitapata faida inayozidi stake, kumbe onecut miyeyusho tu, nimepata faida kiduchu sana pungufu ya stake.

option za bima za onecut na flexible hazina faida yoyote ile, heri mara mia cash-out, cash-out unapata hela nzuri zaidi
 
Kila siku huwa napitia humu ndani,lakin sijaona soucre ya kuaminika ya mtu anaeuza odds za ukweli

Natafuta odds niwe nanunua, maana nakuwa bize sana kiasi nashindwa kusuka mwenyewe mkeka wangu

Si lazima awe mtu, hata kama kuna apps mnaifahamu ya kueleweka basi mniambie

Natumia betpawa

Natanguliza shukrani
Mkuu usitumie nguvu nyingi na pesa nyingi kutafta watu wanaouza ods za kweli utafilisika na kuwa very disapointed cha msingi wew daily tafuta odds mbil then weka 5k utaleta mrejesho umu
 
Mara nyingi odd zake ni mbili tu mi niliongezea jana nikapata odd 10.
Nikaweka jero na mikeka mingine ukapona mmoja tu
Screenshot_20221021-072518.jpg
 
Kuna jamaa Kamla mhindi kama siku Tatu mfululizo juzi Ile nilileta mkeka wake na jana kampiga ila odd ni chache View attachment 2393376View attachment 2393377
Mimi namfata kila siku, he's super good. Small odds zenye uhakika zaidi ni bora kuliko mikeka timu 30 kila siku unaliwa, nikiweka treni ni kwa vile najaribu bahati, nikiona treni lina matumaini naweka, ila primarily naweka hizo ndogo, walau!!!
 
Back
Top Bottom