hila wakuu tuache utani betpawa na sportpesa wana tubana sana kwenye option zao sio siri nimejaribu kubetia 22bet na sportybet nimeona utofauti sana kwenye option zao wapo vizuri kweri kweri.

Betpawa naona ni wazuri kwenye bonus tu wajitafakari sana kwasasa nimejihifadhi 22bet na sportybet mpaka watapo jirekebisha maana ni App nayo ipenda sana sema wazinguaji kwenye option zao tu.
Betpawa ni bonge moja la kampuni
Ipo faster ( unaweza suka mkeka wa timu ishirini within 5 min ) iwe simu au laptop

Wana bonge moja ya bonas

Ila wakijirekebisha kwenye option
Wakawa kama 22bet, 1x bet , au sporty bet . Yawezekana ingekuwa ndo best kampuni ever seen.
 
Leo inyeshe mvua liwake jua lazima wawili watatu wanne watano humu tucheke

Tukutane usiku kwenye mahesabu
Kabisa Mkuu, Lazima.
Screenshot_20220312-134619.jpg
 
Betpawa ni bonge moja la kampuni
Ipo faster ( unaweza suka mkeka wa timu ishirini within 5 min ) iwe simu au laptop

Wana bonge moja ya bonas

Ila wakijirekebisha kwenye option
Wakawa kama 22bet, 1x bet , au sporty bet . Yawezekana ingekuwa ndo best kampuni ever seen.
sema mazoea tu ila hawana maajabu yoyote yani siku zinavyozidi kwenda ndo napoteza hamu nao kabisa.
 
Wenzangu mnaobet 22bet mnatoajw hela mimi nina wiki ya pili nimetoa pesa na haijanifikia wananiambia UVUMILIVU tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom