Leo inyeshe mvua liwake jua lazima wawili watatu wanne watano humu tucheke

Tukutane usiku kwenye mahesabu
Kabisa Mkuu, Lazima.
Screenshot_20220312-134619.jpg
 
Betpawa ni bonge moja la kampuni
Ipo faster ( unaweza suka mkeka wa timu ishirini within 5 min ) iwe simu au laptop

Wana bonge moja ya bonas

Ila wakijirekebisha kwenye option
Wakawa kama 22bet, 1x bet , au sporty bet . Yawezekana ingekuwa ndo best kampuni ever seen.
sema mazoea tu ila hawana maajabu yoyote yani siku zinavyozidi kwenda ndo napoteza hamu nao kabisa.
 
Wenzangu mnaobet 22bet mnatoajw hela mimi nina wiki ya pili nimetoa pesa na haijanifikia wananiambia UVUMILIVU tu
 
Kumamake kubet kaz jaman kila sehem vilio tukukimbilie wap tukiweka direct win munapitanayo double chance chafu magoli ndio usiseme man city anaendanayo 0-0. Haukua na mguu mpaka ufunge na kichwa au ulitaka tu kuchana mkeka wangu kwakua mi nimeweka lisifungwe goli la kichwa KANJI MUNGU ANAKUONA KITAUMANA TU ATA PACHELEWE.
Screenshot_20220312-160850.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom